Meli kongwe ziwa Tanganyika

Fuata upepo

Member
Aug 11, 2011
22
3
Kuna meli inayofanya shughuli za usafirishaji WA abiria ktk ziwa Tanganyika tangu Enzi za mjerumani. ILA mi napata wasiwasi WA kuendelea kujivunia na history hii. I think this is not safe kwani bado hata kipindi cha maombolezo hakijapita. walio kiunda muda huu wangekuwa wanesha ki dump. kazi kwenu vyombo husika.
 
Kuna Episode moja ya kipindi cha "Pole to Pole" ya Michael Palin, anaonyesha alivyosafiri kutoka North Pole mpaka South Pole, akapitia Lake Tanganyika, nafikiri hiyo meli ni MV Liemba, wanaionyesha mpaka jinsi inavyopandisha watu kiholela, ilivyochoka, it is a disaster in waiting to say the least.
 
Back
Top Bottom