Meli iliyoua watu kumbe serikali iliinunua toka mnada wa e-bay

thread critic

Member
Jul 17, 2012
71
14
Jamani kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa serikali ilinunua ile meli iliyoua watu wikiliyopita toka kwenye mnada wa internet wa e-bay

je kuna ukweli kwenye hili au nimechanganya mambo?
 
Meli Skigat haikununuliwa na SERIKALI bali ilinunuliwa na watu BINFSI.

Hata hivyo ilikwisha kuwa grounded huko USA kwasababu ilikuwa hakidhi marine safety.
 
Ni kweli ilinunuliwa ebay ila sio na serikali wala makamo wa rais...la hasha ni watu binafsi ambao wana conenction na serikali na makamo akiwemo!!!
 
Jamani kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa serikali ilinunua ile meli iliyoua watu wikiliyopita toka kwenye mnada wa internet wa e-bay

je kuna ukweli kwenye hili au nimechanganya mambo?


Hapana kwenye E-BAY hakuna aliyezinunua hizo Meli ni Mbili na kwenye E-Bay kila Moja ilikuwa $ 400,000 na

Hawakupata Mnunuzi; Wakazitoa from E-Bay ndio tukatokea Kuzinunua hizo Meli na tukazipata Mbili kwa $ 400,000

Very Very Cheap - Kulikuwa hakuna Mnunuzi ukisikia E-BAY umetolewa NJE UJUE THERE IS SOMETHING

MELI HIZO ZILIKUWA ZA 1986 very old; Mnunuzi ni MTU BINAFSI SIO SERIKALI hata kidogo

Mjue Hizo Meli zilitengenezwa hazikuwa za HIGH Seas zilikuwa kama za kwenda Kigamboni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom