Mei Mosi 2012: JK akasirishwa na utafunaji wa pesa za umma, wahusika kukiona...

JK HAKUNAGA, watanzania kila kukicha anatuonyesha uongozi wake ulotukuka

1. hana kinyongo na watu waliomsema vibaya hadharani kama vile MGAYA WA TUCTA NA MBOWE WA CHADEMA
2. Amewakaribisha ikulu wabaya wake kwa mazungumzo shahidi ni mgaya na mbowe
3. Kapokea kilio cha watanzania kuhusu KATIBA, leo tume imeanza kazi
4. Katoa ruksa kwa ripoti ya CAG kujadiliwa vijiweni

sitaki kuwachosha naomba wengine mmalizie sifa za JK

.
-ni rais pekee duniani anaeongoza nchi kwa matukio.

Ogopa sana mtu ambaye anacheka kauma meno ndugu..ni hatari kubwa na waweza kuona anakuchekea kumbe kuuma menu atakuangamiza
 
Amekubali wahusika wa richmond waendelee kudunda mtaani,
-mfumuko wa Bei ataushughulikia.
-wizi wa rasilimal za tanzania haumuhusu.
-AENDELEE KUMWACHA BEN NA ANNABEN YAKE
JK HAKUNAGA, watanzania kila kukicha anatuonyesha uongozi wake ulotukuka

1. hana kinyongo na watu waliomsema vibaya hadharani kama vile MGAYA WA TUCTA NA MBOWE WA CHADEMA
2. Amewakaribisha ikulu wabaya wake kwa mazungumzo shahidi ni mgaya na mbowe
3. Kapokea kilio cha watanzania kuhusu KATIBA, leo tume imeanza kazi
4. Katoa ruksa kwa ripoti ya CAG kujadiliwa vijiweni

sitaki kuwachosha naomba wengine mmalizie sifa za JK
 
Watanzania tunaishi tu kwa vile tumezaliwa na wanadamu na sisi ni wanadamu ila kwa hotuba nilivyomsikia mkuu hata tukimpa mahela yote yaliopo duniani tutabaki fukara.
 
Kuna mtu humu aliwai kuandika hivi, AKILI NI NZURI UKIWA NAYO KICHWANI.

wewe huna shukrani, jk kawaletea wawekezaji kwenu pia kawaambia miaka 5 mbele mtwara litakuwa jiji la viwanda nchini tanzania
 
Hongera kwa kuanzisha thread
JK HAKUNAGA, watanzania kila kukicha anatuonyesha uongozi wake ulotukuka

1. hana kinyongo na watu waliomsema vibaya hadharani kama vile MGAYA WA TUCTA NA MBOWE WA CHADEMA
2. Amewakaribisha ikulu wabaya wake kwa mazungumzo shahidi ni mgaya na mbowe
3. Kapokea kilio cha watanzania kuhusu KATIBA, leo tume imeanza kazi
4. Katoa ruksa kwa ripoti ya CAG kujadiliwa vijiweni

sitaki kuwachosha naomba wengine mmalizie sifa za JK
 
wewe huna shukrani, jk kawaletea wawekezaji kwenu pia kawaambia miaka 5 mbele mtwara litakuwa jiji la viwanda nchini tanzania

Hata Kigoma waliambiwa itakuwa kama Dubai ... mpaka leo umeme wa mgao, reli haiendi, ndege hazitu, meli zinasuasus, sasa sijui ni Dubai gani? Labda Dubai ya Msoga!
 
.
-ni rais pekee duniani anaeongoza nchi kwa matukio.
.

Pia ni rais pekee duniani anafanyiwa maamuzi na chama cha upinzani yaani yupo ikulu kwa kuendeshwa na rimot za upinzani!
 
5. Amepandisha kodi ya mafuta ya taa ili kuzuia uchakachuaji wa diesel
6. Anathamini watanzania wote hasa wasanii kuliko madaktari.
7. Atapata tuzo ya More Ibrahimu
 
mbona ajaosema kaongeza mishahara? au kuvunja baraza la mafisadi na kuteua jibya
 
Rais pekee aliemwambia MGAYA na TUCTA yake kua ata waandamane miaka 8 mishahara ataongeza ng'o
 
Mwanzisha mada sijui ameianzisha kwa lengo gani maana naona kama kachochea kuanikwa kwa mabaya ya jk
 
mgaya wa TUCTA ndege kong'ota siku hz kapotelea wapiu??lile lilikua jembe sana sijui wameshampoteza
 
MAFILILI tafadhari unatakiwa uelewe kuwa ule mkataba wa ile pipe ya kusafirisha gas lengo ni kuifanya Dar iwe na umeme wa uhakika ,kama Dar ikiwa na umeme wa uhakika ni nani atakuja Mtwara kuwekeza kiwanda wakati Dar umeme ni wa uhakika?,jiulize kwa nini zile km 60 za Somanga to Rufiji hazimaliziwi?Mtwara tumegundua sanaa zenu ,mwisho wenu ww na chama chako 2015.
 
Back
Top Bottom