Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Kilichofanyika wka kuimarisha ofisi ya CAGF ni hatua nzueri kwa kuanzia, lakini haya yote hayatakuwa na maana iwapo hatua inayofuata haitatekelezwa kwa ufasaha na kwa dhati. hatua hiyo ni kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaobainishwa na CAG kuwa ni wezi wa mali ya ummaRais JK amesema amefurahishwa taarifa ya CAG imepewa nafasi yake kujadiliwa na mapendekezo ni mazuri. Serikali imejipanga kuyatekeleza.Yeye kama Rais ndio alipendekeza reports za CAG ziwekwe wazi bunge na wananchi wazisome na kujadili.UPDATES-alimuagiza CAG aimarishe ofisi yake. -sheria ya ukaguzi iliboreshwa na CAG alipewa mamlaka zaidi -hakuna chombo nchini chenye mamlaka ya kumuondoa au kumdhibiti CAG- CAG akigundua kuna hali ya wizi, akabidhi wahusika kwenye vyombo vya dola wakati uchunguzi unaendeleaHakuna baraza jipya la mawaziri