Meeting with Mr. President

JK ni muhuni! yeye akawaita waandishi wa habari wote kwa kuwaambia ratiba zake za kesho?!!

angetoa press release sio kushughulisha watu namna hii kwa kuambiwa safari, ambazo whatever the case may be haziwezi kupanguliwa na masuala ya waandishi wa habari
 
Tena afadhali angekuwepo mwenyewe kuseme hiyo ratiba ili atwangwe maswali, lkn ye kemwachia salva! Waandishi wamerudi pakavu!
 
mwenyewe nimekurupuka kutaka kujua kama hatimaye nimeupata wa "kuteuliwa" kumbe wameitwa kwenda kuelezwa ratiba ya kuitwa tena?
 
Jk inaonyesha hayko seious na nchi hii. So Watz inabidi tuamue moja kama tunaendelea na huyu jamaa au la. Huyu jamaa atatufikisha kule kwa Mwinyi wafanyakazi wanapata mshahara baada ya miezi 3 mpaka 6. Sijaona sourse ya income aliyo create hata moja mpaka sasa hivi. Je watanzania hawaongezeki? jibu tunaongezeka. miradi mingi sasa imesimama, ujenzi wa barabara, shule wanajenga wazazi, haspital nk hata zile ajira alizotuahidi ziko wapi? sasa watz tunaenda kubaya kabisa.
 
Huyu jamaa (JK) siku moja atasema nimekomesha rushwa kumbe mapato hivyo hakuna hata cha kula rushwa. Maana itafika kipindi tutaajikuta nchi haina pesa je watakula nini na ndipo atajisifia nimekomesha rushwa.
 
Back
Top Bottom