Meet the world's richest rappers

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
5428994.jpg

RICH RAPPER: Jay-Z has topped the Forbes list
of richest rappers with an income of US$37 million in the past year

1. Jay-Z: $37 million
2. Diddy: $35 million
3. Kanye West: $16 million
4. Lil Wayne: $15 million
5. Bryan "Birdman" Williams: $15 million
6. Eminem: $14 million
7. Snoop Dogg: $14 million
8. Dr. Dre: $14 million
9. Akon: $13 million
10. Ludacris: $12 million
11. Wiz Khalifa: $11 million
12. Drake: $11 million
13: Pharrell Williams: $10 million
14. Timbaland: $7 million
15. Swizz Beatz: $6.5 million
16. Nicki Minaj: $6.5 million
17. Rick Ross: $6 million
18. 50 Cent: $6 million
19. Pitbull: $6 million
20. T-Pain: $5 million
20. B.o.B: $5 million

timthumb.php
 
T.I angestahili kuwemo katika top 5 lakini kuwepo kwake lupango kumemuathiri.

Last edited by a moderator:
Nadhani mibongofleva Yetu Roma na Kingzillah walistahili hapa sema wapo Bongo.......(Samahani hawa niliwajulia Fiesta)
 
Dahhh
unadhani wamefikia fedha za hao jamaaa hapo juu??
hawawezi kufikia hata 0.000001% ya hela za hao jamaa ila kuna kitu nina uhakika nacho huyu dogo Kingzillah(Godzillah) ana mashairi makali kuliko hata eminem hata dre hata 50% hakuti labda Ludacriss,......hapo usimguse Roma....Nilipata muda na kuongea nao kidogo that day.....wanajitahidi kwa kweli
 
Mbona sioni jina la Juma Nature ..... Watakuwa wamemsahau
hah hah Juma Nature loh hata wale wafagizi wa hao wote 20 oops 30 hawafikia hata kwa theluthi ya vijisenti wanavyopata,naona unafananisha US na TZ bana wapi na wapi
 
hawawezi kufikia hata 0.000001% ya hela za hao jamaa ila kuna kitu nina uhakika nacho huyu dogo Kingzillah(Godzillah) ana mashairi makali kuliko hata eminem hata dre hata 50% hakuti labda Ludacriss,......hapo usimguse Roma....Nilipata muda na kuongea nao kidogo that day.....wanajitahidi kwa kweli

Waooo
safi sana ..
labda wayaimbe kwa English..
na itasaidia kujenga fans na kuuza miziki
yao nje ya EA....
 
hah hah Juma Nature loh hata wale wafagizi wa hao wote 20 oops 30 hawafikia hata kwa theluthi ya vijisenti wanavyopata,naona unafananisha US na TZ bana wapi na wapi

mmmhhhh wewe..
waache bana...
 
1. JAY Z - $37 MILLION

2. P DIDDY - $35 MILLION

3. KANYE WEST - $ 16 MILLION

4. LIL WAYNE - $ 15 MILLION

5. BIRDMAN - $15 MILLION

6. DR. DRE - $14 MILLION

7. SNOOP DOGG - $14 MILLION

8. EMINEM - $14 MILLION

9. AKON -$13 MILLION
10. LUDACRIS - $12 MILLION
 
Back
Top Bottom