Medical check up hii imenishangaza!

Vyovyote vile, Daktari anayejali na kuwajibika alitakiwa kukupa maelezo ya kueleweka kabla ya kukushika.

Pia, wakati anakushika.. lazima alisema maneno fulani ... hapo ungewza kujua nia yake hasa. Kaka weka wazi zaidi mambo yako ili usaidiwe
 
Duh, Vipimo kama hivi vinaweza kusababisha matatizo sana hivi...Hiki mimi hujanifanyia, labda network ya ubongo iwe imekatika kabisaaa

Invisible....Wanafanyiwa Mamwinyi na mabucha yao.....Katika ugonjwa inabidi kuwa mpole....Madaktari walio wengi hawana nia mbaya na mgonjwa.....
 
Invisible....Wanafanyiwa Mamwinyi na mabucha yao.....Katika ugonjwa inabidi kuwa mpole....Madaktari walio wengi hawana nia mbaya na mgonjwa.....
Mkuu Maverick,

Sasa ukiwa unaingiziwa kidole huko inakuwaje? Umewahi kufanyiwa hivyo mkuu?

Basi tu, najua mbele za ugonjwa mtu huna ujanja lakini najiuliza uwezo wa kuvumilia mtu anakufanyia hivyo... Kazi ipo
 
Hapo hakuna cha ajabu... hiyo ni physical...mbona wanawake huchekiwa kila kitu?
Msiwe na mawazo mabaya...

VC, I am a male but gender senstive too...

sio kila anachofanyiwa mwanamke lazima na mwanaume afanyiwe hasa when it comes to health check ups!!! Mleta mada anailelewa hiyo na ndio maana ameuliza.

its common for males kuanagaliwa prostate kupitia nyuma, kengele zaweza angaliwa kwa specific concern, hernia, na mengine yanayofanana na wanawake hasa kwenye vital organs na mifumo mingine kama kifua, macho, GIT nk.

Na pia kuna vipimo vya wanawake peke yao kama mambo ya cancer ya shingo ya uzazi, mfumo huo, matiti pamoja na yale ambayo ni universal, sijui kwa kushika mjenenge wa mtu jamaa alikuwa anatafuta nini!!!

Ni right ya mgonjwa kuuliza na kuambiwa ni kipimo gani anafanyiwa na ni kwa sababu gani

Hebu tumsikie mtoa mada, kwani hakuuliza sababu ya kushikwa abadallah wake hivihivi tu?
 
Hii bado hujamshawishi Ngabu kufanyiwa! Kwanza sipendi madaktari wa kiume. Huwaga naomba kuonana na wa kike. Hii ngumu sana aisee. The only way labda niwe nimepewa nusu kaputi.
 
Daktari anaweza alikuwa sahihi. Kuna testicular cancer ,hivyo kushika testicles ilikuwa sahihi. Pia kushika uume alikuwa anaangalia kama kuna dalili za magonjwa ya zinaa kama vile kutokwa usaha uumeni au kuwa na vipele.

Kuna kipimo kingine kinachoitwa Per Rectum examination (PR) kinahusu kutiwa kidole kwenye njia ya haja kubwa kuangalia Prostate na njia ya haja kubwa. Hiki ni kipimo kinachotakiwa kufanyika "routine" pia.

Mwisho, Daktari alitakiwa kukupa maelezo ya kina kabla ya kukushika sehemu zako za siri.
Nawasilisha.

Hii iko proper mazee, ila hilo la STI ni lazma angepata history kidogo mazee... yaani akamate tu mjenenge bila maelezo ya kina???

Hiyo PR mazee ni soo!!! Wanachapa Jelly halafu jamaa anapepesa finga, kibaya zaidi akitekenya vibaya prostate unaweza ukaachia ***
 
Hii bado hujamshawishi Ngabu kufanyiwa! Kwanza sipendi madaktari wa kiume. Huwaga naomba kuonana na wa kike. Hii ngumu sana aisee. The only way labda niwe nimepewa nusu kaputi.

Kaka hayajakukuta... Kuna mzee mmoja alikuwa gangwe kweli enzi zake mtaa mzima watu walikuwa wanamuogopa, liprostate likajaa... aahhh alifika muhimbili na akachapwa finga na kijana mdogo mno wa mtaa!!! Ilikuwa aibu!!! Mze katoka heshima mbele!!!
 
@ Mtm, kama nlivosema awali, i was shocked! Alinieleza nakiri but sikumuelewa ukizingatia state nlokua nayo. Nilipomaliza zoezi zima akanipa certificate yangu nkala kona.
Habar ndo hiyo
 
Kaka hayajakukuta... Kuna mzee mmoja alikuwa gangwe kweli enzi zake mtaa mzima watu walikuwa wanamuogopa, liprostate likajaa... aahhh alifika muhimbili na akachapwa finga na kijana mdogo mno wa mtaa!!! Ilikuwa aibu!!! Mze katoka heshima mbele!!!

Kuna haja ya kusali sana Mungu atuuepushe na haya magonjwa mengine na pia tuwe makini na vyakula ili tupunge uwezekano wa finger wengine wana madole makubwa mfano Dr. Wako awe ana mikono kama ya mcheza basketball au mfano Great Khali wa WWE
 
@ Mtm, kama nlivosema awali, i was shocked! Alinieleza nakiri but sikumuelewa ukizingatia state nlokua nayo. Nilipomaliza zoezi zima akanipa certificate yangu nkala kona.
Habar ndo hiyo

The good thing ni kwamba ulifanya check na una certificate yako... :D
 
004.gif
 
Daktari alikuwa sahihi kabisa ni kwa vile field sio yako ndio maana unashangaa, je angekipiga finger huko nyuma ili kuangalia prostate yako imekua sana au laa, sindio ungepiga makonde kabisa
KITU USICHOKIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA
 
Kuna kipimo kingine kinachoitwa Per Rectum examination (PR) kinahusu kutiwa kidole kwenye njia ya haja kubwa kuangalia Prostate na njia ya haja kubwa. Hiki ni kipimo kinachotakiwa kufanyika "routine"

Nilikuwa na kila sababu ya kupenda udaktari nilipokuwa mdogo ila washkaji wakanipeleka kwenye mambo ya kutegua mabomu, hebu cheki ooportunity hizi nazikosa. Kwangu kipimo hiki kingekuwa ni lazima kwa kila mgonjwa anayekuja hata kama naumwa kikohozi.Nita administer pia kwa wanawake.
 
I just knew you will ask this question binamu, you are so predictable

You r very right.......as if inajalisha kama ni she au he. Kupigwa kidole kunafanana bana, **** si ile ile?

lakini inaonyesha kama ingekuwa Crispin.angekubali kama Dr angekuwa wa kike.
 
Kazi yangu inanilazimu ku-do medical check up kila mwaka. Juzi nimetoka kufanyiwa coz it has been a year now since i last did one. Docta bwana kanistua. Kaniambia nisasambue then kashika shika eggs zangu then mtalimbo wangu aka penis.

Why all these? Alijaribu kunieleza kwa kweli sikumuelewa maana I was in a shock! A big shock!

Wataalam nielezeeni alikua ananicheki nini? Medical ya last year sikufanyiwa hivi mbona!



Mkuu kama alivyojaribu kusema member mmoja hapa ni sahihi kabisa kwa daktari wako kukufanyia hivyo.Ili kufikia true positive or true negative diagnosis kwa mgonjwa yeyote Daktari yeyote mzuri especially primary care physician lazima apitie hatua zifuatazo:Naeleza kwa kifupi:
1)Kwanza atakufanyia medical interview,ndiyo hiyo medical history.Hapo atakuuliza jina lako,umri wako,kazi yako,unaishi wapi,umeoa nk Atakuuliza tatizo lililokufanya u seek medical attention inaitwa main complaint(s).Atakuuliza kila kitu hapa-present illness,magonjwa yako ya siku za nyuma,kama una magonjwa chronic like diabetes,hypertension,malignancies etc,ulishafanyiwa surgical operation(s).Atakuuliza any disease conditions in ur immediate family members ili kujua kama kuna any genetic correlation btn ur complaints and the diseases of ur family members.Atakuuliza your personal and social history.Unavuta sigara,unatumia madawa ya kulevya,unakunywa pombe;ulianza lini,pombe gani,mara ngapi kwa wiki,chupa ngapi nk nk.Atakuuliza your sexual life,number of sexual partners,homosexuality,hetero nk,Allergies to medications,foods,dawa unazotumia nk nk.
Kama mgonjwa wa kike:Basi pia lazima aulizwe kama anakumbuka mwaka wake alioanza bleeding(menarche),last time ya menstruation,is it regular/irregular..,number of pregnancies,live births,induced/spontaneous abortions,gynecological visits,menopause kwa wenye umri huo nk nk
2)physical/clinical examination..Ndiyo hiyo aliyokufanyia.Atachukua vital signs:BP,body temperature,pulse rate,respiratory rate.Sasa hii imegawanyika katika sehemu nne:a)inspection:Lazima aangalie mwili wako wote including 'ndundukali' yako au 'kipochi manyoya' kwa kinadada.Aaangalie kama una scars,herniations,masses,moles,any discharges,contours of the skin:whether flat/scaphoid/distention nk nk
b)palpation:Kwa kifupi sana:Ndiyo huko kushikwa shikwa na kukandamizwa!Ikiwezekana inabidi a check mifumo yote ya mwili.Kila mfumo kuna magonjwa atayaangalia kulingana na historia yako au just for the sake of checking any other significant even insignificant comorbid ambayo itamsaidia ku arrive at a valid diagnosis hence ensuring appropriate treatment.Ni muhimu sana.Wataalam wa acute abdomen wanaiheshimu sana hii!
c)auscultation:Atapitisha stethoscope kusikiliza sounds of the viscera.Ma cardiac murmers,pulmonary sounds,ma bowel sounds nk ndiyo yako hapa.
d)percussion:pia ataangaliza sounds kujua kama kuna internal masses,any organ enlargement nk nk
3)Ata order lab tests kulingana na atakayo suspect katika hatua mbili hapo juu.Au just for the sake of thorough medical check up.
4)Ata order imaging tests for further confirmation of diagnosis.Kwa mfano kama ana differential diagnosis ya appendicitis,acute cholecystitis,pancreatitis,perforated duodenal ulcer,small bowel obstruction nk aki order USG au CT scan basi itamsaidia kufikia accurate anatomical diagnosis.

Mkuu ninachotaka kukwambia ni kwamba hiyo ni hali ya kawaida unapokutana na daktari mzuri tena shukuru manake wengine huwa wana skip hizi hatua na mwisho wake wasilione tatizo hata kama unalo(false negative diagnosis) au watakupa tatizo ambalo huna(false positive diagnosis).
Kwahiyo hata kina dada mkiminywaminywa chuchu na Madaktari wala msishtuke kwani ni vitu vya kawaida kwa physicians in clinical practice.
 
Duh,

Vipimo kama hivi vinaweza kusababisha matatizo sana hivi...

Hiki mimi hujanifanyia, labda network ya ubongo iwe imekatika kabisaaa


Mkuu Invisible wala huna sababu ya kuogopa hiki kipimo,ni kati ya vipimo vya kawaida kabisa.Wanasema kawaida ukifikisha miaka 50 lakini mimi nakushauri mkuu kama ushafika 40 basi nenda kamuone daktari wako akufanyie pamoja na serum PSA levels kwa ajili ya prostate diseases hasa prostatic carcinoma manake ni tatizo kubwa sana la jinsia yetu na wanasema the earlier the diagnosis the betta the prognosis after treatment.
Fanya hima mkuu for ur own sake
 
Mkuu Invisible wala huna sababu ya kuogopa hiki kipimo,ni kati ya vipimo vya kawaida kabisa.Wanasema kawaida ukifikisha miaka 50 lakini mimi nakushauri mkuu kama ushafika 40 basi nenda kamuone daktari wako akufanyie pamoja na serum PSA levels kwa ajili ya prostate diseases hasa prostatic carcinoma manake ni tatizo kubwa sana la jinsia yetu na wanasema the earlier the diagnosis the betta the prognosis after treatment.
Fanya hima mkuu for ur own sake

Mkuu nakubaliana nawe, kuna watu wamepoteza maisha na cancer ambazo zinatibika kwa vile cancer ilichelewa kugundulika katika hatua za mwanzo. Bwana mmoja namfaham aliambiwa na dr. kama ungekuja two months ago tungekuwa tunaongea habari nyingine, but I am really sorry you have three weeks to live, huyo bwana alikufa exactly three weeks later!
 
Back
Top Bottom