Medical check up for work lazima upimwe HIV au Maamuzi yako

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,841
6,109
Msaada kwa wote mlioajiriwa katika process ya kufanyiwa medical check up lazima upimwe ukimwi?
 
Sio lazima, labda jeshini! It is against human right kunyimwa kazi coz u r HIV positive.
 
Haki za binadamu inakataza. Ndo maana kupima HIV ni hiari ndio wanasema voluntery counseling and testing sio lazima. Hao hawakutendei haki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sidhani kama huwa wanapima na ukimwi...labda hii ya kupimwa ukimwi imeanzishwa miaka ya karibuni.
 
Japo ni kinyume na haki za binadamu lakin kwa baadhi ya kazi ni lazima wakufanyie check kama una vvu au hauna,,na kama hauna wanakuajili na kama hauna hawakuajili,,ila kama ukianza kazi hauna maambukizi ya vvu na unapoendelea na kazi huko siku za usoni wakikukuta umeathirika na vvu hawakufukuzi kazi utaendelea na kazi kama kawaida......
lililo muhimu watu tujilinde sana dhidi ya vvu hasa hasa vijana tunaoendelea kutafuta ajira ili iwe rahisi kupata ajira pia na urahisi wa kupata nafazi za kuendelea na masomo ukiwa kazini na hasa ufadhili wa nje ya nchi ofisi inaghalimika bila kipingamizi,,,,,japo hawasemi wazi kuwa wenye vvu hawapati ajira lakin katika hali halisi ni kwamba ukishaathirika nje ya ajira ni vigumu sana kupata ajira.

Pia maofisi mbalimbali wana utaratibu wa kuwafanyia wafanyakazi checkup ya vvu ili wajue ni wafanyakazi wangapi wameathirika au hawajaathirika ili wale walioathirika waanze kupatiwa huduma zinazotakiwa dhidi ya afya zao,, na hizo check wanafanya baada ya wafanyakazi kuelimishwa umuhimu wa kafanya checkup kwa hiyo mara nyingi kunakuwa na makubaliano kati yao ya kuendelea na zoezi hilo.
 
SAMAHANI HAPO JUU paragraph ya kwanza NIMEKOSEA sehemu ndogo namaanisha kama unavyo vvu HAWAKUAJILI....
 
mkata kiu & nnunu,wakati wa kufanya medical checkup vvu haiangaliwi.the closet they can get ni kuangalia damu tu kuona kama kuna chronic infections.baada ya hapo mtja anashauriwa aonane na tabibu ili afanyiwe investigations zaidi endapo kutaonekana dalili.medical examination ni kwa manufaa ya mfanyakazi mwenyewe,ili kumlinda asiendelee kuathiriwa na kazi zake.hata kama kuna hatari ya kupata vvu kazini (mf watafiti ama watabibu),after immediate exposure a person is counselled and checked for hiv ili apate prophylaxis japokuwa pia ni njia ya ku-establish kama ameambukizwa wakati huo ama alikuwa na maambukizi kabla ya tukio.
 
Sawa king'asti nimekuelewa,,lakin je unataka kuniambia mtu anayetaka kujiunga na jeshi leo katika ile MDC CKP yao wanadeal na mengine tu ila VVU hawacheck????.
 
Ni kweli, ndiyo maana hapo juu kwangu nilisisitiza kujilinda dhidi ya vvu,,,,kwa sababu japo wanasema hawapimi lakin katika hali halisi unapoanza kazi siku hizi vipimo vya vvu wanacheck,,,japo si kwa hiari ya mpimwaji,,wanapima kwa siri pasipo wewe kujua.( amini au usiamini hili)

kwa hiari ni pale unapokuwa upo kazini muda mrefu ndiyo kuna suala la ushauri na siku hizi karibia kila offisi (siyo zote) ina kitengo kinachohusiana na afya za wafanyakazi, hicho kitengo huwa kinahusiana na elimu kuhusu vvu iwe kujilinda au jinsi ya kuishi navyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom