Media Plan ya CCM Mtandao dhidi ya Zitto

Status
Not open for further replies.
1. Kinachotokea hivi sasa ni kwamba Zitto anatupiwa lawama nzito na viongozi wanaotanguliza maslahi binafsi mbele katika chama chake Kwa nini leo hii kuteuliwa kwa Zitto kuchukuliwe kwamba ni kurubuniwa na kuteuliwa kwa mtu mwingine iwe ni sawa na halali na busara isiyomithilika? Kuna jambo limejificha hapa ambalo halizungumzwi.

2. Si tu kwamba katika habari hiyo ya gazeti Zitto alifanywa kuonekana kama msambaratishaji wa CHADEMA ambaye anatumiwa na CCM, bali pia ilijengeka taswira nyingine kwamba kijana mwingine wa chama hicho naye amepangwa ‘kushughulikiwa kwa staili ya Zitto’. Kijana huyo ni Mkurugenzi wa Vijana wa CHADEMA, John Mnyika
.

Very interesting, ingawa ni none of our business, lakini ukweli ni kwamba it does not make a sense at all!
 
Es kweli...zitto amafenywa ndio ajenda..ila please tupeni data za huyu Gideon Shoo..isije ikawa hawa wanatumia kujichanganya wa Chadema kusambaratisha upinzani..
 
Nimeisoma hii habari nimeshindwa la kuhoji kwani majibu yote yamo ktk habari hiyo hiyo. Labda nichukulie kuwa habari hizi ni za kweli nadhani kuna kitu hapa muhimu sana na wengi tumeshindwa kukitazama. Hii ndio kazi yangu kubwa na mwandishi kanisaidia sana kutafuta mzizi wa fitna!

Mwandishi katueleza kwa undani njama zinazofanywa na chama CCM kuwarubuni vijana na hasa target akiwa Zitto. Sijaona gazeti wala mtu akipinga tuhuma hizo, sasa ikiwa maneno haya ni ya kweli na hayana Ubishi inakuwaje sisi tunazungumzia reaction ya Chadema.
Katika kila Action kuna reaction na ajabu hapa watu tumeshikilia Chadema hali inabidi sisi tumuulize rais wetu imekuwaje yeye ktk teuzi hiyo hakujali maslahi ya nchi badala yake kajiingiza ktk makundi ya kuzua FITNA Kisiasa hasa ktk swala ambalo ni muhimu kwa wananchi wote.
Mimi nadhani ipo haja ya sisi wananchi pamoja na vyama vyote vya Upinzani kumuuliza rais kuhusu swala hili ikiwa habari hizi za Kuzua FITNA ni za kweli...

Kwa nini katumia swala la Madini kutukejeli sisi hali malengo yake hayahusiani kabisa na kutafuta suluhisho la mikataba mibaya
 
Naona mnaanza kujirudiarudia sasa. Itabidi muwe mnafatilia agenda zinazoongelewa humu ndani. Hii topic mbona tuliiongelea kwa kirefu wiki yote nzima...sasa mnairudisha hivyo hivyo ilivyo tuianza tena? Tuwe tunajaribu kuwa na mada mpya au tuendeleze zile ambazo zinaonekana kuendelezwa. Hili la zitto tumelishiba sasa.
 
Kweli kabisa mkuu.
Jamaa yupo smart sana na moja ya viongozi walio kamilika sehemu nyingi ukilinganisha na wachumia tumbo...
Na wanajitahidi hata kumzushi tuhuma z kumuua kisiasa ilhali hawana evidence za kumtia hatiani.. matokeo yake wanaumbuka

It started long long ago, Zitto is a threat not only to CCM but even to some chadema leaders who are after their own gains
 
Mh. Zitto anayeongelewa hapa ndiyo huyuhuyu wa leo hii au ni mwingine?!

CHADEMA kunani?
 
TUNASHUKURU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kutoa nafasi kwa vijana kuonyesha uwezo wao katika kujenga taifa. CHADEMA kwa kumpa nafasi MH ZITO KABWE akagombea nafasi ya ubunge wa kigoma kaskazini na kudeliver ambacho alitarajiwa na chama na kulisaidia taifa kujua uovu mbalimbali aunaotendwa na serikali dhidi yetu sisi wananchi. mh ZITO NDIO TUMAINI LETU SISI WATANZANIA KUELEKEA 2015,
TUWAENZI MASHUJAA WETU!!!!!
 
Mh zito is a leader na anauwezo wa kudeliver na sio wale wanaotuambia tuuziwa cement kwa buku tano
 
TUNASHUKURU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kutoa nafasi kwa vijana kuonyesha uwezo wao katika kujenga taifa. CHADEMA kwa kumpa nafasi MH ZITO KABWE akagombea nafasi ya ubunge wa kigoma kaskazini na kudeliver ambacho alitarajiwa na chama na kulisaidia taifa kujua uovu mbalimbali aunaotendwa na serikali dhidi yetu sisi wananchi. mh ZITO NDIO TUMAINI LETU SISI WATANZANIA KUELEKEA 2015,
TUWAENZI MASHUJAA WETU!!!!!

Mkuu zitto ni kiongozi,pamoja na mapungufu yake aliyo nayo lakini bado ni miongoni mwa viongozi wanaokubalika na kuaminika hapa nchini.

Na ndiyo maana utaona kila siku kuna misukule humu ndani inafanya kilajitihada za kumchafua ili aonekane hafai kumbe ndio kwaanza wanampa mibaraka,kumbuka siku zote mti wenye matunda ndio unaopondwa mawe,ni ngumu sana kukuta mtu,ama kundi la watu wako chini ya mti wenye matawi pekee wakiuponda mawe,lakini si ajabu kuona wakifanya hivyo chini ya mti uliojaa matunda!
 
Copy kababu njoo uone jinsi Zitto anavyo kubalika hata mkileta porojo zenu

TUNASHUKURU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kutoa nafasi kwa vijana kuonyesha uwezo wao katika kujenga taifa. CHADEMA kwa kumpa nafasi MH ZITO KABWE akagombea nafasi ya ubunge wa kigoma kaskazini na kudeliver ambacho alitarajiwa na chama na kulisaidia taifa kujua uovu mbalimbali aunaotendwa na serikali dhidi yetu sisi wananchi. mh ZITO NDIO TUMAINI LETU SISI WATANZANIA KUELEKEA 2015,
TUWAENZI MASHUJAA WETU!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu..
Kuna watu nafikiria wanalipwa kwa kukesha humu jf kwa kazi ya kumchua kipenzi cha watanzia mh. Zitto

Mkuu zitto ni kiongozi,pamoja na mapungufu yake aliyo nayo lakini bado ni miongoni mwa viongozi wanaokubalika na kuaminika hapa nchini.

Na ndiyo maana utaona kila siku kuna misukule humu ndani inafanya kilajitihada za kumchafua ili aonekane hafai kumbe ndio kwaanza wanampa mibaraka,kumbuka siku zote mti wenye matunda ndio unaopondwa mawe,ni ngumu sana kukuta mtu,ama kundi la watu wako chini ya mti wenye matawi pekee wakiuponda mawe,lakini si ajabu kuona wakifanya hivyo chini ya mti uliojaa matunda!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu zitto ni kiongozi,pamoja na mapungufu yake aliyo nayo lakini bado ni miongoni mwa viongozi wanaokubalika na kuaminika hapa nchini.

Na ndiyo maana utaona kila siku kuna misukule humu ndani inafanya kilajitihada za kumchafua ili aonekane hafai kumbe ndio kwaanza wanampa mibaraka,kumbuka siku zote mti wenye matunda ndio unaopondwa mawe,ni ngumu sana kukuta mtu,ama kundi la watu wako chini ya mti wenye matawi pekee wakiuponda mawe,lakini si ajabu kuona wakifanya hivyo chini ya mti uliojaa matunda!
Hata wakikesha wakimchafua kamwe hawataweza dogo uwezo wake mkubwa sana mbowe na slaa wanajua ndiyo maana wanatumia ile misukule ya bavicha kumchafua.
 
acha ujinga lowasa hana nafasi mbele ya zito

Sasa hapa naomba nitofautiane na wewe kabisa,ni ngumu sana kumlinganisha zitto na Lowassa katika masuala ya siasa ama uongozi kwenye nchi hii,hili hata zitto analijua!

Wakati tunapokuwa tunajadili masuala ya msingi hebu tuweke ushabiki pembeni,usiwe kama wale misukule ya wakina slaa na mbowe,wakina Yericko Nyerere ambaye anaishi kwa kutumia migongo ya watu mjini,tenda za kujenga mpaka alazimishiwe na slaa ama mbowe,na anapokosa analazimika kujiingiza kwenye biashara za Ki'SH'Oga!Arusha kuna harufu ya kitu huko!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom