MEDIA ownership in Tanzania

Kwamba waandishi wa habari huwa wanapewa brown envelopes kwenye mikutano hii. Lengo lake sijajua bado.

Kwame Nkrumah,

Hivi brown envelope inakuwa na kiasi gani? 50, 80, or 100? Au zaidi??

Je hizi envelope hutolewa ktk kila Press Conference?

Is this not another form of corruption?
 
Nyongeza ni kwamba, waandishi makini wa habari wakiwamo wa TBC1, Daily News, Habari Leo, Rai, Mtanzania, The African, Taifa Tanzania, Umma Tanzania, Radio Uhuru, Tanzania Daima, Nipashe, Channel Ten na kadhalika wakiwamo wale mnaowaona kuwa MAFISADI wanafanya kazi nyuma ya pazia kusaidia mapambano yanayoendelea na hakuna wa kuwanyamazisha.

Na wengi wanafanya kazi hiyo BUREEEEE na wachache kwa ujira mdogo ambao hautoshi hata kufidia gharama zao, ni kwa sababu tu wanachokiamini hawana pa kuandika na hivyo huamua kupeleka kunakohusika ama mahali ambako watapata nafasi ya kuwanika uozo. Humu JF wamo na baadhi wanawabonda mabosi wao ambao hadharani hawawezi kuwasema, kwa sababu tu za kimaadili na za kimaslahi,lakini pia kwa sababu za KIUSALAMA.

Nchini Kenya kuna wakati polisi walidaiwa kuwa katika kashfa ya ujambazi na majambazi yaliwataja kwamba wameshirikiana nao lakini wao wakaswekwa ndani na wenzao wakaachiwa. Polisi Kenya wakasema, "Wale kule mulikokuwa munaiba nao tuliwatuma na tulikuwa tunajua na ndio maana ilikuwa rahisi kupanga mbinu za kuwakamata pamoja na baadaye wenzenu tumewaachia waendelee na kazi ya kuwapata wenzenu."

Mwenye AKILI ataelewa. Kazi njema waandishi WAPAMBANAJI, ALUTA CONTUNUA
 
Nchi makini huwa na media watchdog, ambayo hufanya regulation ya media ownership among other aspects.

Naomba nifahamishwe, Tanzania tuna media watchdog? Lakini hata ingekuwepo ingekuwa na impact yoyote, au ingekuwa mzigo kwa taxpayers kama ilivyo TAKUKURU na taasisi nyingine?

Tatizo ninalolisema kila siku ni moja, Tanzania haina leadership. Kama kungekuwa na leadership, basi kungekuwa na heshima kwa vyombo vya dola. Kila mwenye nguvu anafanya anavyojisikia bila kuhofia sheria za nchi hata kidogo.

Sasa tunapozungumzia media ownership sijui tunataka nini, imagine kuna media organisations zinaendesha biashara bila kusajiliwa.

Kinachotakiwa ni independent media watchdog/regulator, ipewe uhuru wa kusimamia vyombo vya habari na ambayo itaongozwa na kuendeshwa na wasomi wa maswala ya media - tayari tunao wengi lakini hawatumiki. Jiulize wataalam wangapi wa media kutoka Tanzania wameajiriwa nje ya nchi? Kinyume na hapo hizi sarakasi tu.

Lakini kwa Tanzania ninayoifahamu mimi hiyo ni HAPANA haikubaliki kwa jamaa zetu walioshikilia mpini.
 
Please dont even go there

tofauti yangu na wewe, mimi sina gazeti wala redio lakini wewe unavyo vyote ambavyo at most umekuwa mstari wa mbele kuonyesha bias yako especially kufanya interviews na Dr MASAU ambayo ilikuwa so biased na one sided

so please give me a break na lecture yako kuhusu bias

GT you are at your game again; whenever an issue that concerns NSSF comes up you defend it to the hilt!!. Since Dr. Masau had an axe to grind with your buddy at NSSF, then anybody who sympathised with the Doctor's plight must have been biased!! You must for sure be on NSSF's payroll to augment your meagre academic income!!
 
thats where we always go wrong...tuko obsessed with personalities..dont hate the player..hate the game na the game humu ndani ni style and no substance so why should you play clean while everyone is playing dirty?

jaribu kuwa na alternative view uone kama watu watakukubalia...its a dog eat dog situation in here

Its sad lakini ndio ukweli wenyewe humu...

GT you will be well advised to stop generalising. Many contributors to different threads in this forum look at issues and not personalities when contributing; it is only you and your like who always want to spin very constructive contributions by showing your mercenary tendencies!
 
Nyongeza ni kwamba, waandishi makini wa habari wakiwamo wa TBC1, Daily News, Habari Leo, Rai, Mtanzania, The African, Taifa Tanzania, Umma Tanzania, Radio Uhuru, Tanzania Daima, Nipashe, Channel Ten ....
Mwenye AKILI ataelewa. Kazi njema waandishi WAPAMBANAJI, ALUTA CONTUNUA

Mwanahalisi hawamo humo???
 
Watakosa vipi? Mpigieni kubenea atakwambieni kwa nini alichomoa ile press conference ya kumaliza rostam AMBAYO ILIKUWA AIFANYE LAST WEEK
 
Back
Top Bottom