Oyaa swali la kizushi hivi ni tatizo la vifaaa au maujuzi mbona mishemishe za mapaparazi wetu ndani ya uwanja zilikuwa tofauti.
Sio wizin kaka bali ni Wizen. Any way hata ukiangalia hao wa kwetu karibu wote ni wapiga picha za mtaani aka Freelances. Ni waganga njaa tuu.tunaita wizin
Jamani inasikitisha sana.......sasa tunawasaidieje?
Hawa ndo mapaparazi wetu wa Bongo siku ya game ya Taifa stars dhidi ya Brazil wakiwa tayari kufotoa matukio mbalimbali pale dimba la Taifa.
Hawa ndo mapaparazi wa wenzetu wakichukua nyago mbali mbali ndani ya dimba la taifa wkt gemu inaendelea.
Kwa kuangalia tu hapo naona wakuu mnaweza kutusaidia hivi mapaparazi wetu wanashindwa kumudu kununua mitambo ya kisasa ili wawe wanapata taswira za ukweli na uhakika? Na wakaachana na kutumia camera za kwenye vipaimara na komunio zamani tulikuwa tunaita wizin
hahaha Mkuu huko nako hakuna pembejeo, yaani tabu tupuKwa kuwaambia waachane na hiyo kitu waje huku walime matuta ya viazi!