Mechi ya Simba na Yanga Uwanja wa Amani.

Tumechezesha kikosi cha pili kwa kuangalia uwezo wa wachezaji

Sawa, lakini haijalishi. Historia itaandikwa milele kwamba Simba iliifunga Ndala 2 - 0. Hata Simba walivyochezesha kikosi cha pili Kirumba na kulala 1-0 historia itaandikwa wamefungwa.
 
Kombe lenyewe mshindi anapata m.3 ndo maana hatukutilia mkazo kiviiiiiiile kama mlivyo kaza nyie.

Sie ilikuwa sehemu ya mazoezi tu kwa ajili ya msimu ujao wa ligi
 
Nilisikia Manji ile kodi anayodaiwa kaamuwa kutowa kumuulia mnyama? Nasikia katowa miloni 50.
Jana ulikuwa hujui kama kikosi chenu ni B, naona ulitamba sana.
 
Wachezaji hawajalamba hiyo m.50 ni magazeti tu yalikuza.
Kwani hukuona hakukuwa na ushindani licha ya kuchezesha timu B mmeshinda kutufunga magozi 5 tutakutana kwenye ligi
 
Wakati wa Yanba B na Simba B umekwisha zamani! Hivyo hujisikii raha mpaka upewe vitano? Si ulifurahia kwa ushindi wa matuta wewe?
 
natamani shahuku inayo kuepo kabla ya mechi ya yanga na simba, na msisimuko.. vingeweza kuwa reflected into actions uwanjani pindi timu hizi zinapo cheza, kiwango duni no flair yaani sijui tatizo ni nini ? wachezaji hafundikiki au nini ? ikabidi baada ya mechi nijiliwaze kwa kandanda safi la barca
 
Back
Top Bottom