Mechi ya nigeria vs tanzania u23 yaahirishwa

Anfaal

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
1,154
113
Mechi ya Nigeria na Tanzania U23 kuelekea michuano ya Olimpiki imeahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Benin City na kufanya uwanja ujae maji. Baada ya ukaguzi, waamuzi walikubaliana kuwa mechi ni vyema iahirishwe. hivyo mechi hiyo itakuwa siku ya jumapili (kesho).
 
The game has been postponed until tomorrow at 4pm (WAT) due to stadium being under water in Benin City, Nigeria
 
scaled.php
 
Mechi imeshaanza saa kumi na moja kamili kwa saa za Tanzania mpaka sasa hakuna magoli
 
Nigeria wanaongoza kwa goli lililofungwa dakika ya 7 mfungaji akiwa ni Ehiosun
 
Hali sio shwari kwa upande wetu. Lets wait and see.
 
Hawa jamaa vijana stars wangeendelea hivi kama the last ten minutes mambo yangeweza kubadilika
 
Tumefungwa goli 3 - 0, hivi kweli mlitegemea timu ishinde huko? kama tumeajili makocha wawili kwa nini hawakupewa jukumu hilo? badala yake timu akapewa mtoto si halali.
 
Back
Top Bottom