mechi ya marudiano hiyoo inakaribia,msaada wa haraka

he he he zali kama hizo hazinitokeagi miye...nikijaribu hata kupeleka kidole wanakuwa wakali balaa.....kiafya ni rahisi kuambukizana magonjwa especially hiv coz ni rahisi kusababisha michubuko huko nyuma.....tiba ni yeye mwenyewe kuamua kuacha kama vile mtu anavyoamua kuacha pombE.lazima awe amedhamiria asilimia 100
mkuu asante kwa mchango, lakini mkuu hilo sio zali ni balaa labda kwa mtu ambaye hujawahi na hukutegemea.
 
Iyo kitu hairuhusiwi hata kidogo, avunje mpambano, bora aibu kuliko fedhea
 
Bacteria wanaoishi mahali fulani wanaweza kuleta ugonjwa mahali pengine k.m. UTI
Rafiki yako akikikuambia ana kasoro fulani, halafu akasema amezoezwa kuiba hivyo mkaibe wote utakubali? Kama kweli wewe sio mwizi?
 
Bacteria wanaoishi mahali fulani wanaweza kuleta ugonjwa mahali pengine k.m. UTI
Rafiki yako akikikuambia ana kasoro fulani, halafu akasema amezoezwa kuiba hivyo mkaibe wote utakubali? Kama kweli wewe sio mwizi?
maweeee! kumbe huwa kuna bacteria!
 
Kama ni wewe basi acha hizo mambo! Kama ni rafiki yako mwambie kama anataka future na huy dada then aache kumtengenezea damage hayo maeneo. Itamletea matatizo makubwa sana wakati wakujifungua if she ever gets pregnant!
 
alimpaka mafuta ya nini wakati geti liko wazi?ni kufuja mali tu huko
 
Neno la Mungu linasema mf**** na mfil***** hawauona Ufalme wa Mungu.Je hutaki kuuona ufalme wa Mungu
 
....why bitting around the bush...!!
...be straight to the point...

Cwez shauri coz nimepata uvivu kusoma.....
 
milango ya uani itawatokea puani.

Na huyo jamaa yako alipenda mchezo si angekataa? Mpaka kampaka mafuta huko alikua anataka

Acha masikhara wewe, jamaa kasotea for 7 months with fulu maahadi kuwa atavumilia, that's was the price and he has to accept it. ki ki ki ki:lock1:
 
jibu ni hamna dawa,kama alivyoanza alianza na utashi wake mwenyewe ndivyo kuacha,ni utashi wake mwenyewe kumsukuma....

madhara yapo,kama misuli kulegea na mishipa ya dushelele kuziba hivyo kiafya sio jambo zuri...

mwisho usiumize kichwa sana kwa mambo ya watu wanaokubaliana mambo yao yafanyike kwenye kuta nne,huyo rafiki yako ana hiari ya kumuacha huyo dada kwa tabia yake mbaya,ila kwa kuwa na yeye ni mtu mzima ana akili yake...kaamua kumtigo badala yake,so yanayoendelea ni makubaliano yao wenyewe....none of your bussiness.
 
ok, nitashukuru,kinachonitia mashaka ni kuwa jamaa ni kama kachanganyikiwa vile yaani hajui cha kufanya,na isitoshe naona ni kama anaweza kuwa adicted halaf baade wakaachana akapata shida
Huyo jamaa hana haja ya kuchanganyikiwa,. otherwise kama nae kamchezo alikafurahia, so anaona aibu kuendelea huku anataka. kama ningekuwa mimi nisingekubali kuingiza huko na cku hiyo ndo ungekuwa mwisho wetu.
 
Back
Top Bottom