Mechi Kali Bungeni

hii ni kali..nimejaribu kuipaste kwenye favorite zangu lakini inakataa!
 
inaelekea Reds wako fit zaid ya Greens kama wana wanavyoonekana! Greens ni waoga and Shy lakini reds wanathubutu and tested!
 
Hii kali kwelikweli naona lyatonga hajafurahia hiyo no aliyopangwa!
 
Huyo mama kushoto mwa January Makamba ni nani?
 
Back
Top Bottom