Mechi 64 kuonyeshwa live TBC1

Rubi

JF-Expert Member
Oct 5, 2009
1,615
326
Leo 14 /6 katika kipindi cha Jambo kwenye taarifa ya habari nimesikia kuwa Spika wa Bunge la amependekeza mechi zote kuonyeshwa TBC1 na vipindi vya bunge vitakavyokuwa live wakati wa mechi za Kombe la dunia viwe vikionyeshwa kupitia TBC2. Hii ni kutokana na malalamiko mengi yaliyojitokeza kutoka kwa wanachi ambao hawangeweza kuona mechi hizo kupitia TBC2.

Binafsi nimefurahia hatua hii maana Hiyo TBC2 sielewi ni kwa nini ipatikane kwenye king'amuzi pekee au yenyewe sio ya Umma. mana nijuavyo kitu cha umma ni kwa faida ya wote mpka wasiokuwa na uwezo wa kununua vingamuzi.
 
kwanza hicho king'amuzi kinazingua....hakikamati chanel zote walizotangaza...au ndio tumeshapigwa bao?
 
Leo 14 /6 katika kipindi cha Jambo kwenye taarifa ya habari nimesikia kuwa Spika wa Bunge la amependekeza mechi zote kuonyeshwa TBC1 na vipindi vya bunge vitakavyokuwa live wakati wa mechi za Kombe la dunia viwe vikionyeshwa kupitia TBC2. Hii ni kutokana na malalamiko mengi yaliyojitokeza kutoka kwa wanachi ambao hawangeweza kuona mechi hizo kupitia TBC2.

Binafsi nimefurahia hatua hii maana Hiyo TBC2 sielewi ni kwa nini ipatikane kwenye king'amuzi pekee au yenyewe sio ya Umma. mana nijuavyo kitu cha umma ni kwa faida ya wote mpka wasiokuwa na uwezo wa kununua vingamuzi.

Mkuu,

Hayo ni mapendekezo ya Spika na sio lazima TBC wayatimize. TBC2 ni "mradi mkubwa" ambao hata kama kusingekuwa na Bunge linaendelea mechi za kombe la dunia zisingeweza kuonyeshwa kupitia TBC1. Kwahiyo usitegemee sana kuona U-TURN kuhusu WC broadcasting via TBC. Walio na decoders za STAR Times wanaweza kuandamana kudai pesa zao endapo TBC wata-reverse maamuzi yao ya awali
 
Wali wao ni...............................................Mi sina presha kabisa, na angalia kupitia tv ya Mozambique.
 
Mkuu,

Hayo ni mapendekezo ya Spika na sio lazima TBC wayatimize. TBC2 ni "mradi mkubwa" ambao hata kama kusingekuwa na Bunge linaendelea mechi za kombe la dunia zisingeweza kuonyeshwa kupitia TBC1. Kwahiyo usitegemee sana kuona U-TURN kuhusu WC broadcasting via TBC. Walio na decoders za STAR Times wanaweza kuandamana kudai pesa zao endapo TBC wata-reverse maamuzi yao ya awali
Lkini ndio imepita hivyo tutanza kuona kuanzia leo maana hata jana walisema mechi ya pili inayoanza saakumi na moja tutaiona kupitia TBC1. hivyo watu watakuwa na uchaguzi au wa kuangali TBC2 vikao vya Bunge au TBC1 mpira.
 
Mantiki ya spika kusema hilo nikuwa Bunge limelipa ili vikao vionyeshe live kupitia TBC1, sasa vikawa vinaingiliana na kombe la dunia, ndio maana spika akatoa go ahead kwa TBC wasionyeshe kupitia TBC1 badala yake bunge lionyeshwe kupitia TBC2. na TBC1 ionyeshe mechi zote. kwamaana nyingine ulipaswa kuwa na kingamuzi ili uone mechizote kupitia TBC2, NA MECHI CHACHE KUPITIA tbc1
 
Lkini ndio imepita hivyo tutanza kuona kuanzia leo maana hata jana walisema mechi ya pili inayoanza saakumi na moja tutaiona kupitia TBC1. hivyo watu watakuwa na uchaguzi au wa kuangali TBC2 vikao vya Bunge au TBC1 mpira.

Ina maana Bunge kusikia mpaka tulipie? Au jamaa wanajadili vitu ambavyo ni wachache wanatakiwa kuona.
 
Back
Top Bottom