Me sijui huwa nina balaa gani ndugu zangu!!

akuna gundu hapo ila mim nina marafiki ambao wamelelewa na mzazi mmoja tu, hawapendi watoto wao na wao mwenyewe walelewe na mzazi mmoja. wanapenda sana watoto wao walelewe na wazazi wote but labda itokee bahati mbaya mzazi mmoja atangulie mbele ya haki na si kwa kuachana.
 
mmmh! Haya bwana
dhambi ya ubaguzi ukiianza haiishi
utasema yule kalelewa na mama mmoja
mara kalelewa na baba mzungu
mara kalelewa na wazazi wakulima

kwa kweli hata mie sijaipend hii, halafu anaita kuwa ni gundu...
 
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over

Yanaweza kuwepo japo si lazima. Mwanamke wa namna hii huwa anajiandaa kuishi peke yake hata wakati yupo na wewe. Si ajabu akawa anafanya maamuzi mwenyewe bila kukushirikisha au kukutaarifu kwa kuwa hajazoea kuona mama yake akiitafuta ridhaa ya mwanaume kabla ya kufanya jambo.

Ni masuala tu ya kisaikolojia ambayo hata mwanaume aliyelelewa na baba mkorofi mwenye kumpiga mama, hubeba mentality ya kuwa ili uwe mwanaume lzm wanawake waliopo around you wawe taabuni wakati wote.

Ila kwa namna nyingine yaweza ikawa nzuri kwako pia. Mwanamke aliyekosa upendo wa baba, anaweza akawa safi zaidi kwako if you are caring person. Ni dhahiri atahitaji kufidia aliyoyakosa kwa baba toka kwako, kwa hiyo akawa msikivu na mwambata kwa kila hali.
 
we mpuuzi nini,nikosoe mimi ka mimi,usiingize mambo ya vyuo humu,kama ulishndwa kufika ni wewe na undezi wako.

sasa mimi na ww nani ndezi? sikulaumu sana chuo ndio kinakuharibu huko nyuma hukua hivyo.
 
Hiyo inaonesha jinsi nchi isivyokuwa na maadili, mijitu inazaliana hovyo nje ya ndoa. Uzinzi mtupu.

MAADILI?! Vipi ikiwa mama yako ameolewa na mwanaume mwenye wake wa4 ambaye kuonekana kwake nyumbani ni kwa rotation, huyu tutamuita amelelewa na baba na mama, au amelelewa na mama with the help of part time father?
 
]I don't think that has any bearing on anything[/SIZE].

NN;
To my understanding, it naturally must have some bearing, perhaps on something else, and probably not to this specific case of his, as you suggest, yes!

However, in fact, nothing has got not to have any bearing on anything. This is natural!

You see we are friends nowadays,...., cool!
 
Huna kuna madhara ya kisaikolojia mtoto anakuwa nayo, hii inapelekea asione uthamani wa mwanaume. Na ndio maana wengi wao unaweza kukuta anaolewa na kuachika several times.
 
Sasa kaoeni wenye wazazi wote wawili, muone kama mtakuwa tofauti na sisi tuliooa waliolelewa na mzazi mmokommoko. Tatizo ni kujua maisha ya wawili (wewe na mkeo) yatakuwa na utamu gani, uchungu gani na mwisho upi (kama ni kifo au talaka) BE OPTIMISTIC
 
Heshima mbele wakuu!!ebana,me cjui nina gundu gani,yan kila mmanzi nilye wahi kuwa na uhusiano nae lazima anakua amelelewa na mzazi mmoja,wengi wao huwa wamelelewa na mzazi wa kike..ivi kuna madhara yoyote kuwa na let say wife ambae kapata malezi ya mama tu?over
Don't ever marry a woman who doesn't have a father, raised by single parent - woman
 
Ikumbukwe kuwa hawakuchagua kulelewa na mama tu kwani mazingira ndiyo yamewafanya hivyo. What if baba alikufa akiwa mdogo, alimtelekeza mama? Je hawana haki tena ya kuwa na mahusiano? Kama ana tabia mbaya si lazima ziwe zimetokana na nani aliyemlea. Tena wengi wao wanamaarifa na ujasiri kwa vile wanajifunza kuhangaikia maisha mapema.
 
natafuta like nikugongee

Yanaweza kuwepo japo si lazima. Mwanamke wa namna hii huwa anajiandaa kuishi peke yake hata wakati yupo na wewe. Si ajabu akawa anafanya maamuzi mwenyewe bila kukushirikisha au kukutaarifu kwa kuwa hajazoea kuona mama yake akiitafuta ridhaa ya mwanaume kabla ya kufanya jambo.

Ni masuala tu ya kisaikolojia ambayo hata mwanaume aliyelelewa na baba mkorofi mwenye kumpiga mama, hubeba mentality ya kuwa ili uwe mwanaume lzm wanawake waliopo around you wawe taabuni wakati wote.

Ila kwa namna nyingine yaweza ikawa nzuri kwako pia. Mwanamke aliyekosa upendo wa baba, anaweza akawa safi zaidi kwako if you are caring person. Ni dhahiri atahitaji kufidia aliyoyakosa kwa baba toka kwako, kwa hiyo akawa msikivu na mwambata kwa kila hali.
 
Mama na baba walitengana nikiwa mdogo sana (hata sikumbuki kama niliwahi waona wakiwa pamoja kama familia), kwa hiyo mke wangu atajasema anagundu?
Acha mawazo yako mbofumbofu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom