me nimeamua tuachane tu

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,368
843
kipindi tunaanza mapenzi alinionyesha sana love lakini sasa yupo chuo inafikia kiasi ananijibu hovyo,kunitukana,nikimwambia kitu haniskizi yanapomuharibikia anataka tusolve... mapenzi yetu yamekua ya kugombana kila wakati me nimechoka jana nikamwambia ukweli kwamba nimeshindwa... ila nampenda sana yani
 
kipindi tunaanza mapenzi
alinionyesha sana love lakini sasa yupo chuo inafikia kiasi ananijibu
hovyo,kunitukana,nikimwambia kitu haniskizi yanapomuharibikia anataka
tusolve... mapenzi yetu yamekua ya kugombana kila wakati me nimechoka
jana nikamwambia ukweli kwamba nimeshindwa... ila nampenda sana
yani

kisebusebu hicho!
 
Oooh mdogo wangu,mapenzi kizungumkuti...kila mtu ana namna ambayo mapenzi yamemkatili...kama umekuwa victim mara zote na unakiri unampenda endelea kuvumilia eventually ataona upendo wako,beside unaweza kukaa kando na kuangalia maisha yako kwa kua mapenzi ni jambo moja katika mengi ambayo yanasababisha maisha yasonge...Regards!
 
ngoja nikae pembeni kwanza na haya mambo... thank u for your advice
 
Kama ukiamua kumuacha, mwache na usiwaze sana maana mimi nipo kama spare tyre unaweza kuwa nami badala yake, na naahidi kutokupa frustration za aina yoyote. Unaponiona hapo kwenye picha usiniogope umbo langu, kwani ni kifua tu kipana lakini viungo vingine "muhimu" vyote ni size ya kawaida.
 
Back
Top Bottom