Wanyamtura
Member
- Jan 23, 2012
- 23
- 1
Hahahaaaaaa EMT bana....
Hiyo picha sidhani kama ndiyo ya huyo nyoka. Kwanza nimeshawahi kuiona sehemu miaka kadhaa iliyopita na kama sikosei ilidaiwa ilipigwa maeneo ya huko Indonesia.
And I thought it was u inside that stomach?
Nakutania mwaya.
Binduki yako iko wapi wewe?
Kuna mtu kaiazima afu ananizungusha kuirudisha. Unaweza kunisaidia?
Hahahaaaaaa EMT bana....
Hiyo picha sidhani kama ndiyo ya huyo nyoka. Kwanza nimeshawahi kuiona sehemu miaka kadhaa iliyopita na kama sikosei ilidaiwa ilipigwa maeneo ya huko Indonesia.
That was in Congo Sir. In this next story, a crew member on a land oil rig in Congo reportedly went out and took a nap but never returned.
This is where he was eventually found:
Do you want a demonstration of how to catch an African python?
Bado sijashawishika. Naona kama vile hizo picha ni za kuungwa ungwa tu.
Bado sijaona binadamu akiwa ndani ya tumbo la nyoka.
Huyu jamaa aliyejitolea kwenda kule ndani lazima huwa anavuta bangi, kwa akili ya bia huwezi kufanya hii jambo..:spy:
Huyu jamaa aliyejitolea kwenda kule ndani lazima huwa anavuta bangi, kwa akili ya bia huwezi kufanya hii jambo..:spy:
And, finally, here's a demonstration of how to catch an African python. The images follow three brave men as they capture a full-grown female rock python right in her den! PLEASE DON'T TRY THIS AT HOME!
hawezi fanya mara tatu mfululizo maana lazima moja itakula kwake tu, hatari sana hii.
..muwinda huwindwa!