Mdogo wenu naomba ushauri wenu katika suala hili la elimu

history kiswakili na lang ume score vipi?
KWA PUBLIC ADMIN INAWEZEKANA MANAA
Bachelor of Arts in Public Administration (BA - PA) DM029 2 Principal passes in ARTS subjects (History/Geography/Kiswahili/English /French)
Special requirement None minimum admission pt 5 admission capacity 95 programme duration 3 fees 800,000 cut off point 5
 
natumaini umenielewa
 
nina d flat yan (d,d,d)
hizi bado ni principal pass hakuna shida sana ukiangalia cutt off point nyingi UDOM NI ZA KAWAIDA NYINGI NI 5. WEWE UNA DDD YAANI 2+2+2=6 UKIANGALIA KOZI ZOTE ULINAZOTAKA UNAWEZA FITI . CHA MSINGI PITIA HIKI KITABU CHA MUONGOZO CHA TCU NI KIZURI SANA.
 
Ila unajua Udsm, kwny ktabu cha Tcu, katka column ya couse za Art hawachapisha Cutt-off point, sa m2 utajuaje? Na cjui kwann wamefanya hvyo.. Angalia utaona.
 
tnx m-mkweli, et muccobs wana human resource wanataka lng na hist ucwe chini ya 4.5, sa mi nina 6 point, vp c nijarbu, ila namba mimi n mbovu! Ukinshaur zingatia na hlo, km kna course ina #
kweli hrm huwa ina maths kimtindo ndio maana ud inatolewa udbs
 
ila unajua udsm, kwny ktabu cha tcu, katka column ya couse za art hawachapisha cutt-off point, sa m2 utajuaje? Na cjui kwann wamefanya hvyo.. Angalia utaona.
mlimani wako flexible kimtindo maana huwa wangalia respond ya watu zamani walikuwa wanachukua kwa cut off point kubwa ila sasa naona wanacheki respond zaidi kutokana uwingi wa vyuo
 
mlimani wako flexible kimtindo maana huwa wangalia respond ya watu zamani walikuwa wanachukua kwa cut off point kubwa ila sasa naona wanacheki respond zaidi kutokana uwingi wa vyuo
ahha! PSPA, Public relation and advertsiment, pale vp? mana kuna jamaa kanikata main anasema PSPA na LAW,nizisahau kabsa kwa ud.
 
ahha! Pspa, public relation and advertsiment, pale vp? Mana kuna jamaa kanikata main anasema pspa na law,nizisahau kabsa kwa ud.
kwa law mlimani kwa kweli niwe mkweli watu wakifaulu sana wavulana mwisho ni div 1 .6 au 1.7 . Kwani huwa zina ushindani mkubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom