Mdogo wangu ananifunulia mchumba'angu!

Dooh mwambiehuyo dogo akae mbali na shemeji yake. Huo si ustaraabu kabisa, hapaswi kuongea issue zinzokuhusu wewe especially kama not pleasing on your absent. Kama ni ukweli ni wewe wa kumpa na sio yeye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom