Mdogo wake na Rostam Aziz amepelekwa mahakamani kwa dawa za kulevya

Kama Tz Daima ndo limeandika habari hii, je bado Kibanda amenunuliwa na MAFISADI..........................? He has proved us wrong. Kuandika habari moja juu ya mtu sio kununuliwa au kutumika.
 
FF umesoma hilo? hapa FF kaguswa vibaya, angekuwa upande mwingine ungesikia koment za kejeli za FF

Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.

Hata hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.

Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha.
 
Hat hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.

Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha.
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
 
Mdogo wake Rostam asikonde. Rafiki na mlinzi mkuu wa kaka yake Jakaya Kiwete atamtoa lupango haraka. Maana yeye ni kati ya wale wasioguswa. Bila mihadharati CCM isingekuwa madarakani. Hayo ndiyo maisha bora kwa watanzania yaani kulishwa miunga hadi wakaota wanabembea umangani kama mateja wapendavyo kujisikia. Namna hii tumekwisha. Hawa wanaojifanya kuwa wafanyabiashara maarufu wanapaswa kuongezewa sifa yao sahahi yaani wafanyabiashara maarufu wa bwimbi na ufisadi.
 
willium lukuvi tunataka uonyeshe mkanda wa namna assad alivyo kamatwa maana alipo kamatwa askofu mulikimbilia kuliarifu bunge sasa amekamatwa kada wa ccm , je ccm inaongzwa kwa fedha za dawa za kulevya???

Nani aliyemusaidia kuingiza karibu gunia zima la dawa za kulevya ??
Nani alikuwa anamulinda??
Mpaka muvuane magamba kwanza ndipo mkamatane??

Ndio maana hata suala la ushoga mupo kimya !!!

Wakuu naomba mnisaidie nijue hivi humo kwenye red and bolded ni 'made in mkoa gani'? Nimevumilia nimeshindwa imebidi niombe jibu kutoka kwenu wakuu nisaidieni, mweeeeeee! Starehe kweeeeeeeeeeeeeeli!
 
Kama ni kweli mdogo wake, hapo ndipo inatakiwa Serikali isifiwe kwa kufuata mkondo wa Sheria na si jina.

Serikali inatakiwa isifiwe kwa kuonesha kweli wanaokamatwa wanaadhibiwa kwa kufuata sheria;lakini sio hivyo tunavyoona hapa Tanzania!!. Watu wengi wanakamatwa na madawa ya kulevya lakini muda si mrefu wanaachiwa huru kwa kutumia influence yao, hilo limeonekana mara nyingi tu, washiriki wa madawa ya kulevya wanakamatwa na kupelekwa mahakamani aidha wanatozwa faini ndogo ambayo siyo deterrent au huachiwa na kesi hazisikiki kabisa hata magazetini; mfano ni yule mwanamke drug baroness kutoka Kenya ambaye hata Marekani wamempiga marufuku, huyu mama alikamatwa hapo Dar na akafikishwa mahakamani lakini cha kushangaza mpaka leo hii kesi yake haijasikika tena!! Serikali ombaomba ni rahisi kuwekwa mifukoni na hawa wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kwani wana fedha nyingi na kama tujuavyo viongozi wa serikali yetu wanapenda kujazwa mapesa mpaka wanapendekeza sheria ya kununua mashine mitumba ili watuibie vizuri. Shame on you!
 
tusubiri matokeo,Najua kwa hapo ni nguvu ya soda tuu kushikwa lakin kuhukumiwa hautasikia kafungwa mtuu wala nini,kimya kimya kijana anarudi mtaani:crutch:
 
Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.

Hata hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.

Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha.

Udini huooooooooooooooo!
 
Nasikia hata yale mamilioni CDM wanayopewa na yule mhindi yanatokana na madawa ya kulevya.

angekuwa anafanya biashara hizo asingekuwa anaiponda ccm. We unafikiri kwa nini ra alikubali kula matapishi yake? Ana biashara haramu.
 
Serikali inatakiwa isifiwe kwa kuonesha kweli wanaokamatwa wanaadhibiwa kwa kufuata sheria;lakini sio hivyo tunavyoona hapa Tanzania!!. Watu wengi wanakamatwa na madawa ya kulevya lakini muda si mrefu wanaachiwa huru kwa kutumia influence yao, hilo limeonekana mara nyingi tu, washiriki wa madawa ya kulevya wanakamatwa na kupelekwa mahakamani aidha wanatozwa faini ndogo ambayo siyo deterrent au huachiwa na kesi hazisikiki kabisa hata magazetini; mfano ni yule mwanamke drug baroness kutoka Kenya ambaye hata Marekani wamempiga marufuku, huyu mama alikamatwa hapo Dar na akafikishwa mahakamani lakini cha kushangaza mpaka leo hii kesi yake haijasikika tena!! Serikali ombaomba ni rahisi kuwekwa mifukoni na hawa wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kwani wana fedha nyingi na kama tujuavyo viongozi wa serikali yetu wanapenda kujazwa mapesa mpaka wanapendekeza sheria ya kununua mashine mitumba ili watuibie vizuri. Shame on you!

Jee, jeshi letu la polisi ni makini au siyo makini kwa kumkamata huyo "ndugu" yake Rostam?
 
Udini huooooooooooooooo!

Udini uko wapi hapa? unanchekesha!

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.

Hata hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.

Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha
.
 
tusubiri matokeo,Najua kwa hapo ni nguvu ya soda tuu kushikwa lakin kuhukumiwa hautasikia kafungwa mtuu wala nini,kimya kimya kijana anarudi mtaani:crutch:

Jee, kwa kuwa kama mnavyosema kuwa huyu ni "ndugu" yake Rostam, ni lazima na yeye awe CCM? au kuna uwezekanao kuwa huyu ni chama kingine au pia hana chama chochote?
 
Jamani Wana Jf naomba kupewa Ufafanuzi Jk katangaza Vita dhidi ya Dawa za kulevya mwaka 2005, na Amina Chifupa rafiki yake alimuunga mkono .
ASSAD Aziz amekamatwa tarehe 8/03/2010 kabla ya uchanguzi mkuu lakini amepelekwa mahakamani tarehe 11/11/2011. Baada ya Rostam Aziz kudhaniwa ameandaa waraka wa kumupindua Rais Kikwete , ukisoma gazeti la KULIKONI la ijumaa utaona hilo.

Swali la Kwanza Rais Kukwete alituhumu viongozi wa dini Kuhusika na dawa za kulevya je, ASSAD AZIZ ni kiongozi wa dini gani??
Je, Kukamatwa kwa ASSAD AZIZ inatakiwa nani alaniwe kama sio CCM inayo ongozwa na Kikwete??

Ni kwa nini picha za ASSAD AZIZ haipo hdaharani na kwa nini Mkanda wa video vya namna dawa hizo zilivyokamatwa hazikuwekwa wazi kwa wabunge???
Kwa nini kesi hiyo imechukua muda mrefu kupelekwa mahakamani???

Je hizo 92kg za heroin ASSAD yupo peke yake???

Ashafanya mambo kwa kaka ake uku,amelipa faini ya million 259 alafu mambo yameisha!kweli kiboko!!Rugemalira na Seth hamna mtu wa kwenda White House
 
Back
Top Bottom