Mdhungu anajuuuta kumfahamu dada wa Kiganda baada ya kupigwa limbwata

Hamna cha limbwata hapo, jamaa alizuzuka tu na viuno vya mtoto Shanita akashindwa kujicontrol..!

Welldone Shanita, kula hela mama..
 
Uchawi upo jamani mi nime experience kurogwa! Maana mwenyewe nilikuwa siamini,siamini kabisa imani za ushirikina lakini yalinitokea tu pale CHUONI niko 2nd year...nikaugua ghafla kichwa kikawa kinaniuma sana na mwili wote unawaka moto nikaumalizja mwaka wa pili miserably jamani nakumbuka mpaka nili Sup...nikawa frustrated nikienda hospitali hamna kitu, nikahamishia clinic yangu Muhimbili hakukuwa na kitu mpaka daktari mmoja anaitwa dkt. MAGIMBI akaniambia hili sio suala la kihopitali kalishughulie huko mitaani.

Tuombeni mungu jamani hakuna mateso kama ya kuugua ugonjwa invisible.....

Usipojua kitu au kukiexperience haina maana hakipo!
 
Wa afrika bwana,yaani kwao huwa hawaamini kama mtu anaweza kumpenda mtu na kumfanyia vitu vizuri,kwa sababu pengine hawakuzoea kupendwa na kujaliwa tangu utotoni.

Acha hawa ni wapenzi tu,wengine hata mtu akimpenda na kumjali mke wake wa ndoa anaambiwa ni
nguvu za giza

Ndio maana kuna mtu sgnature yake inasema Miafrika ndivyo tulivyo.
 
Huyo bwana David anayelalamika kupewa limbwata Mwafrika? Tuache kujidharau jamani!

Back
Top Bottom