Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Ni vizuri na wewe ukatusaidia wengine kutueleza huyu ni Naibu waziri yupi?
naona na wewe umerukia kumponda huku wengine tukibaki hatuwaelewi...

Nikiitaja wizara nitakua nimevunja sheria za JF kwa kuwa si tayari jina litakua limejulikana?Najua huko aliko anashangaa kumbe hata kwa aID hii anajulikana?Bora arudie tu ID yake ya mwanzo
 
bunge limekosa nidhamu, Halima amejichanganya aombe radhi.

huwezi kumwambia Rais tena umri wa baba yako kuwa ameingi choo cha kike.

Lakini hii yote imesababishwa na mama Spika kwa kushindwa kuwachukulia hatua wabunge wa ccm wanaotoa lugha chafu.

mama spika acha kuharibu bunge.!!
 
Madhara ya GM products.

201205-omag-safe-to-eat-600x411.jpg


Hawa ni Panya walio testiwa kwa kupewa mahindi yua GMO kutoka MONSANTO (Courtesy By Chasha, JF Senior Expert Member)


Rat-Tumor-Monsanto-GMO-Cancer-Study-3-Wide.jpg
 
Huyu tulishamzoea mangapi kaingizwa mkenge? Mnakumbuka alivyofungua hoteli kwa mbwemwe kesho yake ikavunjwa? Mnakumbuka alivyooenda kujidhalilisha kwenye mkutano wa kimataifa eti Mwanahalisi lilifungiwa kwa kuchochea wanajeshi kuasi? Ndiyo maana vijana wameamua kumshughulikia bungeni mara DHAIFU, mara MDINI na sasa KUINGIZWA CHOO CHA KIKE. Amezidi wabunge wa Chadema mkabe mpaka aseme pooo!
 
Madhara ya GM products.

201205-omag-safe-to-eat-600x411.jpg


Hawa ni Panya walio testiwa kwa kupewa mahindi yua GMO kutoka MONSANTO (Courtesy By Chasha, JF Senior Expert Member)


Rat-Tumor-Monsanto-GMO-Cancer-Study-3-Wide.jpg
Sasa kama kwa panya madhara yamekuwa haya jee kwetu sisi na watoto wetu? Halima yuko sahihi kama hali ni hii basi huyu kiongozi wetu sii tuu kaingizwa choo cha kike bali hadi bafuni kabisa.
Hawa wasaidizi gani alionao wanashindwa kumpa ukweli mkuu wao mpaka anakubali madhara kama haya yanaingizwa nchi kama vile wao na ndugu zao wanaishi Ulaya? Hii sii kuwa ni aibu tuu hao ni wauaji kama wauaji wengine na adhabu zao zinapaswa kuwa sawa na wauaji wengine.
 
Hizi ndo sera za ccm na kwa haya tutegemee mengi sana kwani bahari nahis ndo iliyobaki kuhamia..
 
huwa ninashida na busala za dee,ni mbunge mzuri lakini ameshindwa kujiheshimu daima.
 
Back
Top Bottom