Mdee hataki mume acheni uzushi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Nimeona comment hapa inasema halima mdee anataka mume,sio kweli sababu nimeongea naye sasa hivi na anasema ana mtu permanent,kama huamini ntakupa fone no!!!!!!!!!!!!!aghhhhhhhhhhhhhh
 
Nimeona comment hapa inasema halima mdee anataka mume,sio kweli sababu nimeongea naye sasa hivi na anasema ana mtu permanent,kama huamini ntakupa fone no!!!!!!!!!!!!!aghhhhhhhhhhhhhh
Rosemarie , vipi mbona hukunipm tena , sasa inakuwaje nitafute basi
 
Nimeona comment hapa inasema halima mdee anataka mume,sio kweli sababu nimeongea naye sasa hivi na anasema ana mtu permanent,kama huamini ntakupa fone no!!!!!!!!!!!!!aghhhhhhhhhhhhhh

Bila shaka atakuwa na matatizo,huyo mtu permanent ni nani ama ndiko kuzini kwenyewe huko.Mwambie amtambulishe na ndoa ifungwe kama hayupo basi afungue milango tupite.Sioni haja ya kutoa number zake za simu,endelea kuwa mwakilishi wetu kwani inaonekana ni mtu wako wa karibu.
 
Kwani umesha chumbiwa? Au bado umejishikiza kama Slaa alivojishikiza kwa yule mke wa mtu? Je ukiolewa misimamo yako itabadilika kwa mume wako? kuna jamaa hapo juu kajitolea kukuongeza uwe mke wa pili, naona bora kuliko ukubali kuendelea kutumiwa na hilo jemba.
 
mbona mmeanza mambo ya ajabu, Uwekeni kwenye vioja au hamjui thread hii inahusu nini, Hii ni ya Siasa sio Udaku na Mapenzi!!!! Alah, mwache bwana achague , wewe uliyechagua Nazi unamtaka awe wapili Hili!!!?Awe KOROMA
 
babu nilikuwa sijui kama na wewe upo humu,.mjengoni..vikombe vinasemaje huko sumange..:biggrin1:
 
Mpendwa,hongera kwa kuwa karibu na mtu mwenye kaliba ya juu kama Halima James Mdee. Ila sasa amekuruhusu kuwa spokes person wake?ww kama rafiki/mtu wa karibu nadhani hukupaswa ku-share taarifa hizi na umma wote na kutishia kutoa simu yake.siku utakayokuwa celeb utatambua sio kila hoja inatakiwa kujibiwa otherwise utakuwa kama JK,hata za kujibiwa na wafagizi anajibu yeye!kama amekujuza ungemezea tu,heshimu privacy yake basi. Ni ushauri tu...
Nimeona comment hapa inasema halima mdee anataka mume,sio kweli sababu nimeongea naye sasa hivi na anasema ana mtu permanent,kama huamini ntakupa fone no!!!!!!!!!!!!!aghhhhhhhhhhhhhh
 
Halima, usisema umeona comment hapa, yaliyoletwa hapa yametoka kwenye media.

Halima Mdee ameripotiwa kwenye press anatafuta mtu wa kumzalisha, na mwanamme anaeweza kumudu powerful woman like herself bila kumuogopa, yani anatafuta dume la mbegu. Ndivyo ilivyoripotiwa.

Kama imekaa vibaya usijitetee kwa kusema umeyaona hayo hapa, kubali umechemka kwa kutoa picha kwamba unajiona uko desperate with your prospects of finding Bwana Lijali.

Kwa kiongozi anaeheshimiwa ni aibu sana, niliposoma hizi ripoti za media nikasema duuh, Mdee amekuwa Banji?
 
Kuliko aolewe kesho atoke bora atafute mwanaume azae nae then alee mtoto wake. Unajua sometimes sisi tunakosea, yeye kusema hiviyo ameashajua weakness zake, may be hawezi ishi na mume, au ameshaumizwa kiasi kwamba haoni sababu. Mungu amtie nguvu.

AMEN
 
Ningejaribu lakini nahisi nyumba itaendeshwa kwa KANUNI na MWONGOZO wa mama mwenye nyumba. Yuleee! mh! Labda Matumla ndo anamfaa zaidi. Natani tu jamani Lakini nampenda.:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Ata mie nilmsikia kwenye kipindi cha wapiga kelele za pwani hapo clouds anasema, 'nataka mtoto ndo zawadi muhimu kuliko kuolewa'. Aliongeza kwa kusema hata kama akipata mme wakapendana na kukubaliana watafunga ndoa.
 
Back
Top Bottom