Mdau wa JF - Wimbo wa Mbaraka Mwishee,Je, ni huu?

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Kitambo Kidogo mmoja wa wana JF alikuwa akitafuta wimbo wa Mbaraka ulokuwa unazungumzia mashujaa wa Africa.
Nimeambatanisha hapa kibao ambacho alikuwa anamlilia Mzee wetu hayati Abeid Amani Karume.
Kama ndo wenyewe, kazi kwako.La siyo huu basi pata burudani.[video]kifo cha Karume[/video]
Ila kama inaleta shida.Tembelea youtube.com kisha type Kifo cha Karume utaupata hapo.
 
kisoda

naona wimbo uliomboleza wee.....kufika kuanzia dakika ya 4 hivi ukaamua kuburudisha zaidi. Majonzi kwenye dakika moja ya mwisho hayapo kabisaaa..
 
Ndo kazi ya sana hiyo!
inafika wakati unalazimika kujipa burudani maana waweza lipuka kama bomb ukihuzunika kupitiliza!
 
Back
Top Bottom