Allien
JF-Expert Member
- Jul 6, 2008
- 5,546
- 1,861
- Thread starter
- #21
fred macha ameshirikiana na mtu mmoja kuanzisha TV huko UK nimesahau jina lake ila kwa sasa anatafuta sana watafiti mbali mbali kuhusu vipindi na mambo mbali mbali kuhusu TV hiyo , ni ya uingereza lakini itakuwa inaonyesha mambo halisi ya kiafrika sio propaganda za magaribi
Hao consumer insight wako Nkurumah kuna mtu anaitwa James ni mkenya ndio Director kwa tanzania nafikiri tovuti yao ni www.ciaafrica.com , Hao research international wako Viktoria Director wao anaitwa Vuri ila kuna manaja mwingine anaitwa Tupelike Subiri nichek kama naweza kupata no zako ntakupa Pm
Mkuu Shy asante sana kwa information na promise ya contacts. Nitasubiri uni-PM na pia nitatembelea tovuti tajwa hapo juu.
Tuko pamoja Mkuu.