Mdau ajitokeze/kuwa mmiliki

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Hi jf
Nimeanzisha shule inaitwa future light,
inafundisha kwa kutumia program za kujifunzia.
Mwanafunzi kuanzia darasa la kwanza anajifunza kwa kutumia program maalum za computer.
Ni modal school na ni mpya kabisa.
Mdau aliyetayari kuunga mkono na kuwa mmliki wa shule hii.
Kwa maelezo zaidi tuma email
imamu.njama@yahoo.com
0713-810857.
Jivunie kuwa na chako
 
I will support you,grat idea indeed-contact jimmyleonard59@yahoo.com,0714740391.
 
Back
Top Bottom