mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,377
- 3,825
Imekuwa kawaida katika misiba pale historia ya marehemu inaposomwa kuna kipengele ambacho ni cha kuwashukuru madaktari na wauguzi waliomtibu marehemu. Sasa swali; ikiwa mgonjwa amekufa kutokana na madaktari kugoma kipengele hicho kitamkweje? tunawalaani, tunawapongeza, tunawasamehe au tunataka waendelee na mgomo? au ni Je?