Elections 2010 Mdahalo wa Wagombea vijana Movenpik 25/09/2010

Safi sana vijana Wa kazi! Ccm hakuna kijana anayegombea ubunge....labda wangemleta kingunge...ndo kijana wao?
 
Ndo pekee ninayeona anaweza, Jussa hawezi kusimama kabisa mkuu na sijui kama kuna mwingine.

Mtatiro angeenda kama Kinondoni alikuwa anapata kirahisi mnooo

CUF imeamua kumsimamisha "muongeaji bora" anayejibu maswali kwa muda uliowekwa, siyo "bora kuongea" ambapo matokeo yake mnataka muda uongezwe. Huu ni platform ya mdahalo, siyo jukwaa la siasa.

Isitoshe huyo Jussa aidha hujapata kumsikia au humjui kabisa. Hata huyo Slaa wenu hawezi kuweka ulingo naye.
 
Wadau vijana wa chadema wanatisha kwa kweli wamefunika leo movenpick na wamejipanga vya kutosha.ccm wameingia mitini tena na cuf walikuwa na msemaji mmoja mtatiro du chadema mwaka wetu??

This is classic misinformation! Tuambie suala la jinsia na lile la Muungano lilijibiwa na nani?
 
Mdahalo wa wabunge vijana umekwisha hivi punde tu lakini la kusikitisha Jenerali Ulimwengu ambaye ndiye aliyekuwa anaratibu mdahalo huo alijipatia muda mwingi wa kuuliza maswali na huku akiwaachia kadamnasi ya wasikilizaji dakika ishirini tu za kuuliza maswali. Mbali ya wagombea kujitambulisha na kumwaga sera na matarajio yao kijuujuu tija ilikuwa ni ndogo sana kwani shauku ya wasikilizaji wengi kuuliza maswali ya kero zao ilikuwa ni finyu. Tatizo hili ni la kuangalia siku za usoni isije ikatokea mdahalo ni wa kumnufaisha mtu na wala siyo walengwa ambao ndiyo wapiga kura wenyewe.

Kwa mfano mgombea wa CUF kutoka Ubungo alidai chama chake kina mkakati wa ajira za vijana ambao aliufananisha na muarobaini lakini hakuweza kuufafanua. Yawezekana anao mkakati tajwa au ni geresha zake tu. Lakini alimiminiwa makofi kibao. Katika kuufunga mdahalo tajwa Jenerali Ulimwengu alidai maeneo yote muhiimu tayari yamepitiwa. Nilifikiri wa kupima mafanikio hayo siyo yeye bali sisi watazamaji..............
 
Phillip Mangula angekuwa bado katibu Mkuu CCm, wasingekwepa mdahalo!! Nimefurahishwa sana na jinsi mwanajanvi mwenzetu GS [ Regina Mtema]alivyoshusha nondo kwenye mdahalo wa wabunge watarajiwa vijana; akigangamala jimbo la Kilombero atalichukua kiulaini!!
 
Punguza uongo. Mkapa alikubali kuingia mdahalo kwenye uchaguzi wa 1995 lakini ule wa 2000 aliukacha. Sasa mwaka 2000 katibu mkuu wa CCM alikuwa nani kama siyo Mangula? Hizo agenda zenu za kuwa CCM ilikuwa nzuri kabla ya kuingia Kikwete na Makamba ndiyo tunazozipiga vita hapa.
 
Kiukweli kazi bado tunayo tena kubwa sana, nilikuwa njiani kurudi nyumbani nilipo chungulia JF mara moja nika kutana na hii topic, ilinibidi nisitishe safari ya kwenda nyumbani na nika pita bar ilitu niweze kutizama huo mdahalo. Wakati mdahalo unaendelea muudumu wa bar akasikikia akisema "hamna lolote nyie wezi tu na kura hampati" wakati huo alikuwa anazungumza Zitto, baada ya mda nilimuita na kumuuliza

M: kwa nini umesama hawana lolote, ni akina nani wenye lolote?

Muudumu: Chadema/CUF wote wezi tu na kura hawapati mwaka ,CCM ndio wenyewe bana

Mganyizi: Ok, Kwa hiyo mwaka huu utapigia chama gani kura na ni sababu gani zitakufanya ukipigie kura?

Muudumu: CCM kwa sababu na kipenda isitoshe viongozi wake wanapesa

Mganyizi: dah! utakipigia kura kwa sababu unakipenda na siyo kwamba kimefanya mengi ya kwa taifa hili
huoni jinsi wanavyo tumia madaraka tuliyowapa vibaya?

Muudumu: ndiyo ni kwa sababu na kipenda na Mbunge fllani (akamtaja jina ) ni bwana angu

Mganyizi: Dah hiyo kali kwa kweli, na kushauri ufikirie uhamuzi wako juu ya kura yako usiitumie vibaya kwa kuwapa watu wasiyoweza kubadilisha maisha yako kwa miaka 49 sasa...

Muudumu: sawa nitafikiria kuhusu hilo, naomba ninunulie bia Kaka...

Kwa kweli huyu muudumu amenishagaza sana kwa majibu yake, ukweli ni kwamba watanzania wengi wenye helimu ya chini na wasiyo na kipato cha kutosha wako nyuma sana kifikra na ndio type ya huyu muudumu wa bar"ni mdada mzuri kweli kweli sema hana elimu ndio maana yuko bar sehemu ambayo hakustahili kuwepo pale the way alivyo jaliwa.

Nimempa Tsh 10,000/= ya bia a,efurahi sana na alamia,bia atakipigia Chadema kura. nika mwambia awashawishi na waudumu wenzie wakipigie chama ambacho kinaonyesha nia ya kuleta mabadiliko kwenye chi hii..
 
Lol! Mkuu umefanya utafiti mzuri, ila takukuru wangekuona !!
 
ccm wachakachua jf presidential poll.kwa muda wa masaa 2 wamepiga vote >400

Wenye akili timamu watajadili mdahalo na kampeni zinavyoendelea, siyo hizi "polls" za kitoto ambazo mtu yeyote anaweza kupiga zaidi ya mara kumi kwa siku.
 
Wenye akili timamu watajadili mdahalo na kampeni zinavyoendelea, siyo hizi "polls" za kitoto ambazo mtu yeyote anaweza kupiga zaidi ya mara kumi kwa siku.

Asikudaganye mtu poll ina maana yake hasa katika kuandaa watu kisaikolojia. Hii ni bila kujali uhalisia wake. Ndiyo maana REDET na wenzao utangaza matokeo yao hasa yakiegemea chama fulani. Unajua kwa nini wame'mute'?
 
Polls zinafanywa kisayansi. Siyo hii online poll ambayo haina restrictions za aina yoyote ambapo mtu mmoja anaweza kupiga kura zaidi ya mara moja kila siku. Ushindi wa uchaguzi unapatikana kwenye grass root movement kule vijijini, siyo kupiga kura mara kadhaa kwenye so called "online polls".
 
Hao jama wawili wa CUF ukiondoa Mtatiro Mbona ni watu wazima? au ndo vijana kwa tafsiri ya CUF?

Ha ha ha nimecheka sana Reyes, anyway hata wewe umeshaweka utata ''watu wazima'' kwa tafsiri ipi!! ha ha
Nawashukuru Ndege ya uchumi, Chimunguru n.k kwa kutuhabarisha. Hawa jamaa kwa kuleta mambo yanayotokea maeneo waliyopo wapo makini. Good job.
 
Asanteni sana wana jamvi wenzangu!

Nipo sehemu ambayo siwezi kabisa ku_access TV kwa namna yoyote ile, kwa ujumla haipo karibu nami ila kupitia JF at least nimepata updates za mdahalo. Big up sana wajumbe mmefanya kazi nzuri sana.
Heko kwenu Ndege ya Uchumi, Mgayizi, Msanii, Amarigong, Bigirita, Kudadeki, Rutashubanyuma, Bulesi Hagonga na wengine wengi.
Aluta continue.
 
Julius Mtatiro wa CUF aling'ara katika debate ile. Pia wale wa Chadema hawakuwa mbali naye.

Mifisadi ya CCM imeingia mitini. Aibu!
 
Julius Mtatiro wa CUF aling'ara katika debate ile. Pia wale wa Chadema hawakuwa mbali naye.

Mifisadi ya CCM imeingia mitini. Aibu!

Duh! Hii kali. Yaani ccm siku hizi naiona kama mifisi fulani hivi, au mimbweha inayohangaika kujiokoa na mitego ya waadilifu. Wana kazi kweli kweli. Mpaka wanakimbia midahalo na ubabe wao wote?!
 
Back
Top Bottom