Elections 2010 Mdahalo Wa Wagombea Uraisi Zanzibar

Falconer

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
881
508
Habari za kuaminika zinasema kuwa leo ule mdahalo ulioandaliwa Zanzibar, wahudhuri hawakufika isipokuwa Maalimi Seif Sharrif pekee yake. Maalim Seif akihojiwa na waandishi wa habari aliieleza ilani ya chama chake juu ya Zanzibar. Lakusikitisha ni kuwa Ali mohammed Shein hakuwepo wala wapinzani wenza pia hawakuwepo.
 
Back
Top Bottom