Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 95
- 85
Leo kunafanyika mchhezo mchafu kama wewe ni muelewa utaelewa kinacho fanyika hapa. Leo kuna mdahalo wa KUBORESHA MAHUSIANO YA VIONGOZI NA WANANCHI( swala ni zuri na lenye maada kubwa sana kwa jamii na maendeleo ya taifa) Watakao shiriki ni mbunge wa mbulu (WA CHADEMA) na madiwani wote na wananchi wa wilaya ya Mbulu. Mgeni rasmi ni mkuu wa wilaya ya mbulu( Huyu ni sisim na ukumbuke kuwa mbunge ni chadema je mgeni rasmi ata simama kama mgeni rasmi au ataende lea na ile kauli ya kisism sisim na kumbukeni mdahalo huu utahudhuriwa na wananchi wote wakiuliza maswali kwa wawakilishi (MBUNGE) ALAFU MKUU WA WILAYA NDIO KUONGOZI WA MDAHALO. Je sifa za mtu kuwa mgeni rasmi katika tukio kama ili ni zipi? Mdahalo utarushwa kupitia REDIO HABARI NJEMA F.M 87.5 kama upo manyara unaweza pata yote yatakayo jiri