Mdahalo wa katiba St Augustine university

Kudadek hawa jamaa vp mbona huku Arusha matangazo ya star tv yamekata kuna nini huko au Tanesko wamechukua chao.
 
wahusika ni kinanani? je kuna media yoyote iliyopo hapo kwa kurusha huo mdaharo?
 
Mchokoza mada Dr Makulilo (UDSM) ndo anaanza kuchokonoa,anauliza nani mmiliki wa muungano?
 
wahusika ni kinanani? je kuna media yoyote iliyopo hapo kwa kurusha huo mdaharo?

wahusika ni wananchi wote popote walipo ila tu huu mdahalo unafanyika hapa SAUT waliohudhuria ni wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya hapa mwanza. Star tv wanarusha live huu mdahalo try to tune.!
 
wahusika ni wananchi wote popote walipo ila tu huu mdahalo unafanyika hapa SAUT waliohudhuria ni wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya hapa mwanza. Star tv wanarusha live huu mdahalo try to tune.!
hakuna redio inayorusha? huku wengine tanesco washafanya matusi yao....f...ck tanesco.....
 
Dr Makulilo anasema muungano ni mali ya ccm kwasababu mwaka 1977 ASP na TANU viliungana kuunda CCM
 
Dr. Makulilo anasema kwamba suala la katiba mpya halikuwa kwenye ilani ya ccm bali kwa vyama vya upinzani hususan cuf na chadema hivyo basi itatuwia vigumu kupata katiba mpya jambo litakalo pelekea ama kutokea kama yale ya kenya 2007.
 
Mdahalo umepamba moto kuna mwanakijiji mmoja anataka wakulima nao walipe pension kama wafanyakazi wastaafu pia anataka wanachuo hela iongezwe coz 7,500 hytoshi
 
wakuu ushauri wangu na muda wa rais madarakani upunguzwe walau miaka minne(4) badala ya mitano(5) au mnaonaje wana JF.
 
Back
Top Bottom