Binafsi sikuusikliza tangu mwanzo ila mwishoni nimeona Francis Kiwanga akisema Jukwaa la Katiba litaandaa maandamo nchi nzima yasiyokuwa na kikomo, wasiwasi wangu ni watu wa Dar wanatuangusha mno, ila kuchangia kwenye mtandao ni wazuri kweli, linapokuja suala la kujitoa mhanga kwa ajili ya kizazi kijacho wanarudi nyuma. Inahitajika nguvu ya umma na kuwa seriously.