Mdahalo wa katiba ITV

"Mbunge na mshahara wa Milioni 7 mbali na posho ya jimbo na mafuta ya gari lake, mshahara wa dereva wake 450, ila wanawapunja wanawapa 150,000/-" Renatus Mkinga amechangia hivyo na anajiita mwanaharakati. Hivi kweli ana data huyu?
cjakupa mkuu! mbona umekurupuka?
 
PAMELA MASAY angalau amenyoosha vizuri kwamba lengo la mdahalo ni kujadili nini kifanyike kama kesho mswada utasomwa mara ya pili badala ya mara ya kwanza. Amesema watu wanapotoka kujadili yaliyomo kwenye mswada..... kumbe hata Mwenyekiti alikuwa hajaelewa nini kinapaswa kujadiliwa.
 
Hahahhahahaah watu hawataki utani kabisa hahahaha watu sasa hivi hamna kucheza kabisa......Huyu mzee anaongea pumba hapa.......
 
Rais wa Tadei kazomewa sana kwa kuimbwa ccm ccm ccm alikua anauliza je yanayozungumzwa na Jukwaa la Katiba linaifikia gvt?
 
Nipo huku bush ila kwa muda huu nipo hapa chini ya mwembe napata updates za mjini na wife anakusanya kuni turudi mjini! Thanks
 
Nipo huku bush ila kwa muda huu nipo hapa chini ya mwembe napata updates za mjini na wife anakusanya kuni turudi mjini! Thanks

Hahahahhahaha nimecheka sana mkuu sio mchezo aisee....hahaha au sio upo chini ya mwembe......
 
Maalim kaongea vitu vya maana sana!
Aman ndio cha muhimu zaidi..
 
Muislam huyo anaongea, sasa CCM someni nyakati pia, na sio mnaweka udini na kujidanganya waislam wote wana wa support mumemuona huyo???haya sasa karibia wote wanataka mabadiliko
 
Sioni anayesema kipi kiingizwe kwenye muswada wa katiba au kipi kitoke.
Wengi wana jazba tu.
 
Kuna watu wana akili kama za wale ffu waoga wanaokamata binti mmoja ffu kumi na silaha
 
Back
Top Bottom