Mdahalo wa katiba ITV

mwenyekiti wa wafanyakazi anasema kama wabunge(ccm) wataupitisha mswada kwa unafiki wa kusema ndio waupitishe mswada anasema wataupinga kwa namna yyt
 
wafanyakazi kupinga review ya katiba kwa namna yoyote ile.

Iwapo wabunge wataupitisha mswada huo.
 
Duh kwa kweli usomwe kwa mara ya pili hawa wanaoongoza sheria wanafikiri kwa kutumia masaburi sijui???????????
 
kundi lenye ulemavu limesema halijakubaliana na huo mswada unaopelekwa bungeni kesho kwani haujawashirikisha, anasema watafutiwe nchi nyingine wakaishi mana wamechoka kuitwa watanzania wkt hawathaminiwi.
 
da huyu dada mlemavu ni noma ANASEMA WATANZANIA TUMECHOKA NGOMA (MSWADA)IWEKWE MEZANI IJADILIWE KWA PAMOJA
 
ANANELIA NKYA: leo serikali iliyoko madarakani inatumia vyombo ilivyoviweka madarakani kunyanyasa na kuua wananch, anauliza vyombo hvi vimewekwa kumtumikia nani??
 
hapa magamba wawe macho sana unless watajutia hili,katiba ni kwa wabongo wote ........ naona mama nkya anamwaga sumu hapa...
 
naona mwanaharakati mkinga anamwaga sumu... anasema haki aiombwi, upiganiwa... so watanzania tusiogope...
 
katiba katiba katiba wananchi tusiogope wakizingua ka mbway iwe mbway we have nothing to loose niko tayari kuingia front hii ndo iwe sababu ya kukinukisha bora kinuke tushachoka
 
sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU haiwezekani sauti ya wachache ikawa sauti ya MUNGU. ht biblia imeandika USIOGOPE KUDAI HAKI YAKO
 
Hmmmm nimeipenda passion ya huyo mama...sijui hata jina anaitwa nani! Huyo aliyezungmzia ku "surrender"
 
waoga ni maafui wa Mungu... wabongo tufe kwa kudai katiba yetu.... mama mchangiaji anasema...
 
Back
Top Bottom