lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,028
Nilimuona Mh. Tundu Lissu kwenye habari jana akisema kuwa hakuna haja ya kuendelea na serikari nzima mpaka 2015 huku tukiona kuwa ni 'unproductive' kwa vile hii sheria ya kuwa na uchaguzi au serikari ileile kwa miaka miatano haiko kwenye Vitabu Vitakatifu.
Yawezekana katika mawazo yote hili liko valid zaidi japo gharama yake ni kubwa lakini hivi sasa serikali hii inatengeneza hasara ambayo ni kubwa kuliko hizo gharama!
Yawezekana katika mawazo yote hili liko valid zaidi japo gharama yake ni kubwa lakini hivi sasa serikali hii inatengeneza hasara ambayo ni kubwa kuliko hizo gharama!