Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa kurudiwa saa 5 usiku leo

Status
Not open for further replies.
Napenda kuwajulisha kwamba mdahalo wa DR SLAA Uliorushwa na ITV LIVE
siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 moaka saa 3 utarudiwa leo saa 5 usiku
Hata hivyo Kuna vipindi vingine vinaandaliwa sasa hivi kwa ajili ya
Mgombea huyu - tutaongea na wahusika wengine tujue gharama zake zikoje
na jinsi tutakavyoweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kabla ya
tarehe 31 yaani siku ya kupiga kura
Hii ni habari nzuri lakini mngefanya mipango matangazo hayo yatangazwe kwa njia ya redio ili hata wale wasio na luninga waweze kumsikia Dr. Slaa huu ni wakati wa lala salama kwa kila njia ya kufikisha ujumbe itumike.
 
Pia kama Pesa ipo tununue airtime ya TV siku ya jumamosi mara baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ili Dr. Slaa ahitimishe kampeni kwa kuongea na watanzania wote kwa wakati mmoja. Hapa anahitaji kuonyesha uwezo wa kuyajua matatizo ya nchi yetu na utatuzi wake. Ni muda mzuri wa kutolea ufafanuzi sera ya Elimu bure afya bure kwa kina kwa kutunia mifano rahisi ya kihesabu.

Nadhani Chadema tunawasomi wengi wanaoweza kuandaa hotuba yenye kontenti nzuri ili iwe na big impact siku hiyo. Naomba kutoa hoja.
 
I am sure tactical team ya CHEDEMA inaliona hili. Nahisi CCM lzima watajibu mapigo kuelekea mwisha wa kampeni.

Nadhani style ya suprise attackes inawayumbisha sana!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom