Elections 2010 Mdahalo wa Dr Slaa kurudiwa saa 5 usiku leo

Status
Not open for further replies.

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Napenda kuwajulisha kwamba mdahalo wa DR SLAA Uliorushwa na ITV LIVE siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 moaka saa 3 utarudiwa leo saa 5 usiku
 
Asante mdau I missed this on Saturday, Macho yangu yatakuwa kwenye TV leo.
 
Utarudiwa kwenye media gani? Huko huko ITV? Na je hamkuona sababu ya kutumia na baadhi ya redio zilizopo mikoani kurusha huo mdahalo? Nafikiri sasa hivi karibu kila mkoa una Redio yake ambayo inasikika hadi vijijini, au kwa mfano Redio Free Africa inasikika sana huko vijijini. Badala ya kuurudia ITV pekee ambayo inatazamwa na watu wa mijini (na yumkini wengi walishauona), mlipaswa pia kuuweka huo mdahalo katika Redio ambazo zinasikika hadi maeneo yale yasiyo na umeme (vijijni). Tafadhari, fikirieni namna ya kulifanya hilo. Naamini hata wale ambao Slaa atakuwa hajawafikia kwenye kampeni watapata fursa ya kusikia na kuchambua uwezo wake kwa njia hii ya redio.
 
Hata hivyo Kuna vipindi vingine vinaandaliwa sasa hivi kwa ajili ya Mgombea huyu - tutaongea na wahusika wengine tujue gharama zake zikoje na jinsi tutakavyoweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kabla ya tarehe 31 yaani siku ya kupiga kura
 
Napenda kuwajulisha kwamba mdahalo wa DR SLAA Uliorushwa na ITV LIVE siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 moaka saa 3 utarudiwa leo saa 5 usiku

Kama wataurudia utakuwa powa sana maana atoa vogongo si vya kawaida nadhani JK na wenzake vichwa vinawauma maana DR (original) alimwaga point si zakwaida.

Hivi kwanini wasikutanishwe hawa wagombea wawili Original Dr na Another Dr (SLaa na JK) kwenye mdahalo halafu wakawa wanapigwa maswali ya hapo kwa hapo kama ya Original Dr juzi tuone nani atachemka!
 
kama wataurudia utakuwa powa sana maana atoa vogongo si vya kawaida nadhani jk na wenzake vichwa vinawauma maana dr (original) alimwaga point si zakwaida.

hivi kwanini wasikutanishwe hawa wagombea wawili original dr na another dr (slaa na jk) kwenye mdahalo halafu wakawa wanapigwa maswali ya hapo kwa hapo kama ya original dr juzi tuone nani atachemka!

dr feki atashinda nionavyo,si analala kwa mnajimu now days au????
 
Kwanini wanarudia mda mbaya namna hiyo?

Sasa sisi tunaoangalia kwa jirani tukae mpaka saa nane usiku kweli?
 
Napenda kuwajulisha kwamba mdahalo wa DR SLAA Uliorushwa na ITV LIVE siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 moaka saa 3 utarudiwa leo saa 5 usiku

asante mkuu kwa kutukumbusha hilo.

nashauri sote tuone ikiwa ni pamoja na wana ccm kama mimi.
 
Kama wataurudia utakuwa powa sana maana atoa vogongo si vya kawaida nadhani JK na wenzake vichwa vinawauma maana DR (original) alimwaga point si zakwaida.

Hivi kwanini wasikutanishwe hawa wagombea wawili Original Dr na Another Dr (SLaa na JK) kwenye mdahalo halafu wakawa wanapigwa maswali ya hapo kwa hapo kama ya Original Dr juzi tuone nani atachemka!

Walio karibu na JK wanasema, baada ya JK kumsikiliza Dr wa ukweli ameahidi kua kura yake atampa Dr Slaa. Na amesema kwa kua kura ni siri na yeye mwenyewe anamkubali Slaa baada ya kusikia Sera zake, ameahidi kutomnyima kura Mpinzani wake.
 
Nashauri uongozi wa Chadema wanunue airtime kurusha vipindi kila siku mpaka siku ya uchaguzi na mkesha wa uchaguzi warudie tena huu mdahalo
 
Hata hivyo Kuna vipindi vingine vinaandaliwa sasa hivi kwa ajili ya Mgombea huyu - tutaongea na wahusika wengine tujue gharama zake zikoje na jinsi tutakavyoweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kabla ya tarehe 31 yaani siku ya kupiga kura

Shy, ya kweli haya???
 
hili ni jamabo la mhimu sana ili uwafikie watu maeneo yote.
Utarudiwa kwenye media gani? Huko huko ITV? Na je hamkuona sababu ya kutumia na baadhi ya redio zilizopo mikoani kurusha huo mdahalo? Nafikiri sasa hivi karibu kila mkoa una Redio yake ambayo inasikika hadi vijijini, au kwa mfano Redio Free Africa inasikika sana huko vijijini. Badala ya kuurudia ITV pekee ambayo inatazamwa na watu wa mijini (na yumkini wengi walishauona), mlipaswa pia kuuweka huo mdahalo katika Redio ambazo zinasikika hadi maeneo yale yasiyo na umeme (vijijni). Tafadhari, fikirieni namna ya kulifanya hilo. Naamini hata wale ambao Slaa atakuwa hajawafikia kwenye kampeni watapata fursa ya kusikia na kuchambua uwezo wake kwa njia hii ya redio.
 
Napenda kuwajulisha kwamba mdahalo wa DR SLAA Uliorushwa na ITV LIVE
siku ya Jumamosi kuanzia saa 12 moaka saa 3 utarudiwa leo saa 5 usiku
Hata hivyo Kuna vipindi vingine vinaandaliwa sasa hivi kwa ajili ya
Mgombea huyu - tutaongea na wahusika wengine tujue gharama zake zikoje
na jinsi tutakavyoweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kabla ya
tarehe 31 yaani siku ya kupiga kura
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom