Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Swal la pil kwa nape. Zanzibar wana Serikal ya umoja wa Kitaifa, na wana itikad tofaut. Je! Kwa njia hiyo Tanzania itafika inapotaka!

Nape anaropoka. Haeleweki. Anasema kuwa wanaobeza kilichofanyika Zanzibar ni wabinafsi.

Mdahalo ndio huoo,marando kaanza kuchemka mapemaaa!

Acha mambo ya ajabu weka masabuni yako vizuri na uangalie majibu ya kiumeni toka kwa Marando anajenga hoja vizuri sana

Jusa nae hajielewi dhidi ya ndoa yao na ccm maana anajichanganya anatolea mfano wa wale madiwani wa Kigoma kushiriki na cdm kipindi,naona hajibu swali kama anavyotakiwa

Acha mambo ya ajabu weka masabuni yako vizuri na uangalie majibu ya kiumeni toka kwa Marando anajenga hoja vizuri sana

Marando katoa Lecture.

? Swali kwa cdm na cuf: Mbona ushirki wao una kizungumkuti? Au ni itikadi zao

Natamani mtu amuulize Jussa kuhusu muungano na Tanzania tunayotaka - VEEERY IMPORTANT.

Anajibu marando je kwenye kusimamia jambo wote mna utashi wa mnalo liamini?

Back
Top Bottom