Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Kama muda ni kuanxia saa Saba usiku mpaka saa Tisa usiku, lazima watakaojaa kimahudhurio ni Walinzi wa usiku a.k.a Kolokoloni na Waanga. Msalimieni Shehe Yahaya mnaweza kuwa nae muda huo

nadhani ni saa 1. 20 mpaka 3.20 jamaa amechanganya kizungu na kiböngo.

Jamaa mbona muda haujawa wazi mara saa 17.30, 7.30 pm 1.20 usku naomba anaye jua right time awake hapa kwa nanufaa ya wengi, naona jf imevamia na vitoto utani unakuwa mwengi, kuweni serious.

Jamaa mbona muda haujawa wazi mara saa 17.30, 7.30 pm 1.20 usku naomba anaye jua right time awake hapa kwa nanufaa ya wengi, naona jf imevamia na vitoto utani unakuwa mwengi, kuweni serious.
MUDA KWA MUJIBU WA STAR TV NI KUANZIA SAA MOJA NA NUSU USIKU/7.30 PM/19.30. /1.30 USIKU, hiyo ndio taarifa rasmi

321306_257730637581690_100000342668655_910319_4744204_n.jpg

Nadhani hapo wakuu mtakuwa mmepata majibu, hii nimeitoa kwenye wall ya Nape FB anaitangaza kupitia huko.
Ni saa 1:30 mpaka 3:20 jioni
wakuu kuweni kwenye luninga time hizo maana mimi hata tangazo la startv nimeliona.

hatuna matatizo na itikadi za vyama,tuna tatizo la watu na dhamira zao wa hivyo vyama.mnafikiri mfano ccm wana itikadi mbovu kabisa? Hapana kwani wamebadili nini toka kwa Mwl za kuwa na viongozi wasiofata maadili?

soma itikadi za ccm na wanayoyafanya siku hizi! Itikadi makaratasini tu,vitendo negative! Nafuu Cdm peoples power inafanya kazi haswa! Lakini zile za siasa safi na uongozi bora wanaona hata aibu kusema wazi!

Kweli nepi atapwaya sana kwa mabele ni sawa na kumpambanisha ccmiz na tembo.tehe tehe mzee wa kujivua gamba

ngoja nirashi fasta pale kona bar nikachangie mapato ya serikali ili nicheki mdahalo mana mr megawati keshaharibu huku.

mbona 2nachec startv na nw ni sa 1 bt kimya
Leo Nape cjui ivi anamjua mabele marando huyo kaz ni kwake!

Mkuu huu mzigo unaanza kuanzia saa moja na nusu so mwenyewe naomba Mr.Megawat asije akatupora tena,ndio Star tv wapo kwenye habari muda huu

Dah! Ona sasa hi mijamaa ya Tanesco washakata umeme mambo mengine yanatia hasira bwana aaah! Mdahalo ushanipita sasa huu! Muwe mnatujunza kinachoendelea jamani!

Dah! Ona sasa hi mijamaa ya Tanesco washakata umeme mambo mengine yanatia hasira bwana aaah! Mdahalo ushanipita sasa huu! Muwe mnatujunza kinachoendelea jamani!

Pole mkuu tutakujuza as time being

Wana JF tune Star Tv, mjadala unaanza.
Naona washrk Wanaingia.

Back
Top Bottom