Nakubaliana na wewe kuwa hawa wenzetu hawana hivyo vyeo ulivyovutaja vya kiserikali au kisiasa. Lakini kuhusu uongozi wa nchi nakuhakikishia kuwa wao ndio wanawaongoza hawa weusi wenzetu wenye hivyo vyeo ulivyovitaja. Sasa kama wanaweza kuwaongoza viongozi kuna haja gani ya wao wenyewe kutafuta nafasi hizo?.