Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ?

Vp, kuhusu demokrasia ndani ya Ukumbi?,, Maana wengine tuna Maoni tofauti na Mtizamo wao,, naweza nyang'anywa maiki,, au ni hoja ya upande mmoja? Maana tumezoea kuona midahalo hii kuwa ni Kampein2. Naomba mtujuze.
 
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .

Asante kwa taarifa, naona kuna vigezo na masharti ya kuzingatia, teh he he he.
 
Mbona hakuna chochote hadi sasa? Au wameahirisha? Haya ngoja tuvute muda kidoogo
 
Nimempigia jamaa simu ameniambia bado wanaunga mitambo. Lakini madahalo upo na utarushwa live.
 
Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana

una2zingua.mbn hamna kitu star tv
 
Yap! Mdaharo ndo unaanza, namwona Mary Mwakıtwange, Baruanı Mhuza mshıne Tundu Lısu na Mnyaa wa CUF ndanı ya mjengo!
Tuendelee kujuzana!
 
Mh. Tundulisu ameanza kutoa ufafanuzi wA nini maana ya muswada kusomwa mara ya kwanza na pili
 
Mtujuze wengine mikoani huku Star TV imecorrupt, mwezi sasa wafika hatuioni!!
 
Tundu anamchana vibaya mnyaa........ Mnyaa kweli ni CCM B.... yaani pumba anazotema hatari
Tundu ni nondo after nondo
 
Kwani CUF walikosa mtu wa kuzungumzia hii kitu mpaka watume huyu bwana Mnyaa? Anaongea pumba tupu? I think he has no idea about the constitution as well as the law. Anaongea kama JK alivyokuwa anaongea na wazee.... Very saddening!!!
 
Mi nashangaa CCM wanakimbia na bado kuna mijitu hapa jamii forums inawatetea,cjui inafikir kwa ku2mia mgongo?ritz,rejao,mzee,mafilili shame on u,kazi yenu ubwabwa tu..

kama umekosa cha kuongea nyamaza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom