Mdahalo Movenpick unataka kuhudhuria ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .
 
Mkuu unahusu nini mdahalo? Na washiriki ni JF pekee ama ni wote, je, unarushwa na chombo gani? Ama ni mdahalo wa ndani?
 
huo mdahalo ni wa nini isije tukakuta kumbe ni rostam aziz anahutubia aisee!
 
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .

oya mdahalo unahusu nini weka kitu open isije ikawa vikao vya freemason...
 
Maada ya mdahalo, tujuze tukutafute tukiwa na kitu cha kuchangia, kaka usijaribu kutuuzia mbuzi kwenye junia
 
Mwana jF kama unataka kuwa mmoja wa wale waananchi kwenye mdahalo basi nitafute kwa kwa namba hii 0715999250 nami nitakupa kadi .Utatakiwa kuwa ukumbini saa kumi na nusu kamili na si zaidi ya hapo.Milango itafungwa kumi na moja kasoro dakika 5 ngoma inaanza .Nitafute upate kadi yako asante .

Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana
 
Mkuu ina maana c.c.m walifatwa wakachomoa kushiriki huu mdahalo? basi if it is Yes! vilaza wa mwisho hawa magamba.
Kuna member mmoja humu JF jana alianzisha thread akimfananisha kamanda Lissu is like Lionel Messi.
 
Mi nashangaa CCM wanakimbia na bado kuna mijitu hapa jamii forums inawatetea,cjui inafikir kwa ku2mia mgongo?ritz,rejao,mzee,mafilili shame on u,kazi yenu ubwabwa tu..
 
Mkuu Halisi Tundu Lissu atakuwa ndani ya nyumba anajenga hoja ya kila kitu kilicho tokea huko Dodoma na labda ku suggest the way forward .CUF watakuwa ndani ya ukumbi kiongozi wao kukabiliana na Tundu na CCM wamechomoa .Itakuwa LIVE kwenye Star TV na Mwakitwange kama sijakosea jina lake ndiye muongoza mjadala .Naamini nimesha wajibu vyema ila hili tangazo liko hapa hapa lililetwa na mwana JF .Asanteni sana

umesema 16:45 ndo itaanza enhee?
 
Wakuu nimepewa nafasi 20 kwa kuwa mie mzee wenu hapa JF so as far as I know kadi ni bure sitamkiwa kiingilio na nime ambiwa mwisho wa kuingia ukumbini na wanatakiwa watu 200 mie nimepewa nafasi za upendeleo 20 na ni bure kwa heshima yangu so tuonane huko huko but confirm .
 
Taarifa kamili ni kwamba Lissu wa Chadema na Mnyaa wa CUF na ndugu zao CCM .Kiingilio ni bure hakuna malipo hata senti itakuwa Star TV kama hutaweza kufika na itaanza saa kumi na moja kamili saa za Africa Mashariki
 
Wakuu nimepewa nafasi 20 kwa kuwa mie mzee wenu hapa JF so as far as I know kadi ni bure sitamkiwa kiingilio na nime ambiwa mwisho wa kuingia ukumbini na wanatakiwa watu 200 mie nimepewa nafasi za upendeleo 20 na ni bure kwa heshima yangu so tuonane huko huko but confirm .

Ni bure kwa "Heshima yako" au ndiyo utaratibu uliowekwa? Nafikiri hata Ngurumo ametangaza Fb the same issue kwenye ukurasa wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom