kwa hiyo unatushauri nini na maneno yako mengi yasiyo na hekima??????
actually mie sijakurupuka nimesom na nikaelewa izo pumba za kutokuwa na kujiamini,wewe ndo umekurupuka kubishana na maoni yangu,halafu wewe unamtazamo wako na mie ninamtazamo wangu,kama wewe unaelement za kuona umeshindwa hata kabla hujafanya kitu ,ni wewe so ujsilazimishe na wengine wawe kama wewe,mtoa mada kazungumza hoja nzuri. Let's talk about issues tusiwe wepesi wa kukurupuka, tukubali changamoto ili tuweze kupima afya ya fikra zetu, kama wanachama/wafuasi wa cdm lazima tukubali changamoto, lazima tutafsiri mabadiliko ambao tunayahubiri.
Tusipokubali changamoto, tunakubali kufunga mirija ya fikra zetu.
My take, tujikite kwenye hoja
Pole sana!Dhana ya M4C ya chadema sijaielewa kabisa. Ndio maana mimi naiita "movement for power" na hii M4C ni kivuli tu cha kufikia malengo yao ambayo kwa uhakika sio yenye malengo ya kuleta mabadiliko katika nchi yetu.
EL sio bosi wangu, bali mimi ni shabiki wake!. He is now a gone case anasubiri tuu kuwa disposed off!, the new sailing ship is Membe!.Pascal umemsifia sana mchambuzi na kwa kweli anastahili sifa ulizompa- he really deserve the praise, ila sijaona comments zako kwenye thread ya Aweda ambayo imegusa maslahi ya bosi wako Lowasa. Naomba maoni yako kuhusu mada ya Aweda ya Sumaye kumvaa Lowasa. Nimekusubiri toka jana.
actually mie sijakurupuka nimesom na nikaelewa izo pumba za kutokuwa na kujiamini,wewe ndo umekurupuka kubishana na maoni yangu,halafu wewe unamtazamo wako na mie ninamtazamo wangu,kama wewe unaelement za kuona umeshindwa hata kabla hujafanya kitu ,ni wewe so ujsilazimishe na wengine wawe kama wewe,
Kijana unajua maana ya hekima? Ningependa ukae chini utafakari hutaweza kunielewa ukinisoma kama kitabu cha hadithi. Tujaribu ku discuss ideas ili hata kama mjadala uwe ba dira.
Pole sana!
Mtoa mada ungetoa ufafanuzi wa mapungufu uliyoyabaini kwenye M4C kisha mapendekezo ya kuboresha. Lakini umeanza kwa kusema huielewi M4C KABISA. Sasa najiuliza unakosoa ideology ambayo mwenyewe unakiri kabisa huelewi?
Nashauri unge study kwanza ukaelewa vizuri kisha uje na maeneo yaliyo kaa vizuri na orodha ya mapungufu na ushauri namna ya kuboresha.