Elections 2010 Mdahalo kupitia TBC1 jimbo la Kigoma Kusini

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
Wakuu naona chadema na NCCR wanachuana kweli

they are both very intelligent, disciplined and well articulated to the province problems

Nimeipenda sana na naamini kwamba hili jimbo zuri

Kafulila is great with data and jamaa wa chadema (sorry i ahve forgotten the name) is well vested with the system
 
mgombea wa chadema anaelezea swali, la elimu ya uraia

anaelezea, kuwa ccm hawawezi kukuelimisha kuhusu elimu ya uraia, coz utajua haki, zako
 
kweli mkuu, naona kafulila anazungumzia experience yake

nimependa sana chadema alivyosema tusitegemee kupata elimu ya uraia from ccm
 
CCM hawapendi kuona watanzania wanaelimika na kujua haki zao za msingi, hivyo wanafanya kila wawezelo kuhakikisha kwamba watanzania wanabaki mbumbumbu. Wanaua Elimu hapa Tanzania, lakini watoto na wajomba zao wanaenda kusoma nje ya nchi ili wakirudi waje kuchukua ama kupewa madaraka makubwa ndani ya serikali kwa lengo la kurithishana madaraka.

Tuikatae CCM kwa nguvu zetu zote nakwa akili zetu zote. Kumbukeni CCM ni ADUI MKUBWA WA MAENDELEO KATIKA NCHI YETU.
 
Keil wee Mgosya,

Nilipiga tena simu juzi na sikupata jibu. Kuna kaka yangu yuko Mitaa hiyo na nilipompigia simu na yeye akasema wala hajafahamu bado. Ila alijisifu kuwa alimpa shule jamaa mmoja juu ya EPA na Richmond na jamaa akaenda kuichana picha ya Kikwete aliyokuwa kabandika ukutani mwa nyumba yake.

Nilitegemea kuwa kwenye hii list watakuwepo ila napo naona hawapo wote ndiyo maana sikukutumia. Mara nikipata chochote basi ntakujulisha ila tu niliambiwa kuwa KAKUNDA amebaki bado CCM na upinzani huko ni kama haupo. Watu hawajasikia kabisa juu ya upinzani. Ntampigia tena wiki lijalo na huenda akawa na jibu sahihi.........

Bado ninakudai majina ya wagombea wa Mkoa wa Tabora, na hasa jimbo la Sikonge.
 
problem ya kigoma kusini ni ile le dhana ya wapinzani kushindana wao kwa wao, both chadema na nccr wameonesha kuwa na nguvu ya kutosha tatizo ni kuwa kwa kutoachiana jimbo hilo watagawana kura za pale na kusababisha kiumbe dhaifu cha ccm kushinda kwa kura chache sana, lazima upinzani ubadilike pia mambo mengine yana katisha tamaa mabadiliko ya kweli kwa taifa hili.
 
CCM hawapendi kuona watanzania wanaelimika na kujua haki zao za msingi, hivyo wanafanya kila wawezelo kuhakikisha kwamba watanzania wanabaki mbumbumbu. Wanaua Elimu hapa Tanzania, lakini watoto na wajomba zao wanaenda kusoma nje ya nchi ili wakirudi waje kuchukua ama kupewa madaraka makubwa ndani ya serikali kwa lengo la kurithishana madaraka.

Tuikatae CCM kwa nguvu zetu zote nakwa akili zetu zote. Kumbukeni CCM ni ADUI MKUBWA WA MAENDELEO KATIKA NCHI YETU.

Tayari tunayo mifano hai hapa hatuna haja ya kwenda mbali,kwamfano:

  1. January Makamba-Makamba - Katibu wa ccm
  2. Ridhiwani Kikwete-Kikwete Raisi wa Tanzania
  3. Hassan Mwinyi-Ally Hassan Mwinyi(Ruksa)-Rais Mstaafu
  4. Nape Mnauye-Moses Mnauye
  5. Livingstone
  6. .....
  7. .....
  8. .....
  9. ....
  10. ....
  11. ....
  12. ...
  13. ....
  14. ...
  15. ....
  16. ....
  17. ....
  18. nk..nk..nk
 
Tafadhali Mzee wa vocal Shaban Kisu,tunakuomba kama unaweza kutuwekea video ya mchakato majimboni huko kigoma kusini ili tuupate na sisi tulio mbali.
Please if you dont mind.
 
Bwana nilicheki ule mchakato mmh ama kweli vijana waongea. Walikua jamaa wawili mmoja wa CHADEMA na Mwingine wa NCCR, all these guys were very competent. Walikuwa vizuri sana and they were very young.

Kingine kilicho nishangaza huko Kigoma kusini ni jinsi wananchi wa kule walivyokuwa na constructive questions. Wale jamaa sijui wamesoma wapi maanake walikuwa wanahit points kwenye maswali yao. Kila aliyeuliza swali awe mzee ama kijana aliuliza swali la msing. Mfano kuna mzee mmoja aliuliza swali kuhusu uhaba wa elimu ya uraia jimboni mwao.

Generally i was so impressed with those guys.
 
wote wanafaa ila naogopa watagawana kura na ccm kufanya mambo yao,,,, ila ukweli vijana wote ni makini na wanfaa
 
Kwenye mdahalo wa wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kusini uliorushwa na kituo cha TBC1 jana usiku,mgombea ubunge wa NCCR-Mageuzi kwa kiasi kikubwa alimfunika yule gabachori wa Chadema.
Wadau mliupimaje ule mdahalo?
 
Heshima kwako mwanafyale,

Hongera kwa kutuletea story zisizopendwa hapa jamvini.

Mkuu hizi habari hazitakiwi hapa unatakiwa kumsifia mgombea wa CHADEMA hata kama ni mgombea wa hovyo kiasi gani.Hebu tupe habari huyo mgombea wa NCCR Mageuzi alisema nii.
 
crap ongelea hoja iliyopo.
 
Heshima kwako mwanafyale,

Hongera kwa kutuletea story zisizopendwa hapa jamvini.

Mkuu hizi habari hazitakiwi hapa unatakiwa kumsifia mgombea wa CHADEMA hata kama ni mgombea wa hovyo kiasi gani.Hebu tupe habari huyo mgombea wa NCCR Mageuzi alisema nii.

hizi generalisation nyingine bana................
 
Heshima kwako mwanafyale,

Hongera kwa kutuletea story zisizopendwa hapa jamvini.

Mkuu hizi habari hazitakiwi hapa unatakiwa kumsifia mgombea wa CHADEMA hata kama ni mgombea wa hovyo kiasi gani.Hebu tupe habari huyo mgombea wa NCCR Mageuzi alisema nii.

Very shallow!

Kwa taarifa yako wengi wetu hapa tunapigania ukombozi wa kweli... Ukinichukua leo nikapige kura kuna wagombea wawili ambao ni Dr. John P Magufuli (CCM) na mwingine yeyote isipokuwa Dr Slaa wa Chadema nitampigia Dr Magufuli kwa sababu ninaheshimu mchango wake na wala si chama anachotoka
 
Kwenye mdahalo wa wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Kusini uliorushwa na kituo cha TBC1 jana usiku,mgombea ubunge wa NCCR-Mageuzi kwa kiasi kikubwa alimfunika yule gabachori wa Chadema.
Wadau mliupimaje ule mdahalo?

Wewe ume-conclude kuwa jamaa alifunikwa.............halafu unauliza washikaji/wadau..........inaelekea hujiamini na ulichoandika...........
hebu tuwekee kwa unaga ubaga hapa mambo yalikuwaje............nini kilizungumzwa...............ili wadau wachambue............
 
yule bwana wa chadema hana takwimu kabisa kwa kitu ukilinganisha na wa nccr ambaye alikuwa akijibu kwa takwimu.

najua hoja hii si nzuri kwenu,na wengi mliangalia,mnafahamu nini kinaongelewa.
ni kweli,hapa ni kumsifia mtu yeyote wa chadema hata kama amevurunda.
Mgombea wa Chadema jimbo la Kigoma Kusini oyee!
 
still vague.............hebu lete substance kidogo bana.............your statement is still very subjective.................wacha ujingawa kusema kuwa kila mgombea wa Chadema ni lulu wewe tuletee substance hapa.........kwani wengine usitulazimishe kuwa tuliona/kusikia.............weka mavitu s hapa ili yachambuliwe...............tutawachambua kama tulivyomchambua dada yetu REGIA........
 
Back
Top Bottom