Mdahalo kuhusu katiba(itv)-Videos

Mkuu Shurani sana naomba uendelee na huduma hii muhimu..., hizi information huwa ni adimu sana..., Nakumbuka ule mdahalo wa kina shivji, wa dr slaa etc, ilikuwa kazi kuupata.... I hope this is the beggining of a wonderful job that you will be doing.
 
Mkuu, Nadhani kazi ndio kwanza imeanza issue za muhimu lazima ziwekwe kwenye kumbukumbu, Tutaendelea kuwakilisha!
 
Shukrani Kitungi kwa thread na asante DedichiJr wa Youtube kwa video clips kuanzia namba 'Mdahalo wa Katiba 01 mpaka Mdahalo wa Katiba10.

Hapa Msekwa 'analaumu' wale wasiofuata katiba iliyopo (ya mwaka 1977) kama ilivyoandikwa ktk karatasi hapa kwa maneno mengine analaumu utawala wa CCM kuvunja katiba iliyopo.

Swali kuu je KATIBA MPYA itakayo andikwa kwa wino ktk karatasi itaheshimiwa na watawala au itabaki kuwa ni KATIBA MPYA NZURI ILIYO KTK KARATASI tu bila kuheshimiwa???????.

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom