Mbunge wa ubungo, John Mnyika atakuwa mmoja wa wazungumzaji kwenye mdaharo kuhusu Muungano na Tanzania Tunayoitaka, kesho tarehe 4 disemba katika hotel ya movenpick/serena kuanzia saa 10 na nusu jioni na kurushwa live na startv kuanzia saa 11 jioni. ofisi ya mbunge ubungo inakualika kujumuika naye. Tafadhali thibitisha kushiriki kwa namba 0715379542. Wazungumzaji wengine ni Muhamed seif khatib (ccm) na Muwakilishi kutoka Tanganyika Law Society (TLS).