Mdahalo kati ya wagombea wa urais 2010

We can

JF-Expert Member
Sep 4, 2010
678
47
Ndg zangu, uchaguzi umeisha, lakini ndo unaanza tena!

Naomba kuwaomba wagombea wa urais wa 2010 wamalize tofauti zao kwa kufanya mdahalo wa tadhmini ya ahadi zao walizozitoa wakati wa kampeni. Kufanya tathmini baada ya siku 100 za mwanzo ni jambo la kawaida. Hii itasaidia ama vyama vyao au wananchi kujua nani wa kumchangua 2015. Midahalo hii irekodiwe na kupelekwa hadi vijijini.
 
Pole ndugu yangu, Makamba alikataza midahalo kwa hiyo usitegemee upande wa CCM watashiriki. Kama upande wa CCM hawatashiriki basi ina maana kuwa mdahalo hautakuwa na maana
 
Hili la midahalo naomba liwemo kwenye katiba mpya ijayo. Mnasemaje wadau.
 
Back
Top Bottom