Mdahalo ITV Bila Profesa Lipumba Na Wengine, Kwanini?

The guy is silly,
mimi nimemshangaa sana, make amekurupuka tu, kama mtu huna infos za kutosha jaribu kuuliza watu wengine wakuelimishe and upost hiyo thread yako.
 
ndugu yangu maggid mimi naungana na wewe kuhusu mahojiano ya mwakitwange na silaha.haya yalipangwa kumpigia debe mgombea ukichukulia huyu ni pona kwa kiswahili safi mdahalo ni watu wanoshindana kwa nguvu ya hoja wasio chini ya watu wawili. wangemchukua Kuga Mzirai tungeita mdahalo.MWAKITWANGE KACHEMSHA JANA ule sio mdahalo mahojiano
 
mengi in nature mbaguzi na hakuna sumu mbaya kwa taifa kuliko ubaguzi
Tuambie ulitakaje kuhusiana na mdahalo wa jana au ni zamu yenu kulialia moto unawawakia na bado MS yuko wapi?,Startv, kila siku wana kipindi cha karibu nusu saa kila siku kunadi sera za CCM je Diaro ni mbaguzi? hivyo hiyo kwa channel ten?
 
The guy is silly,
mimi nimemshangaa sana, make amekurupuka tu, kama mtu huna infos za kutosha jaribu kuuliza watu wengine wakuelimishe and upost hiyo thread yako.
Maggid must be one of the renowned figure in media industry, teh only problem is his decision not to be neutral
 
The guy is silly,
mimi nimemshangaa sana, make amekurupuka tu, kama mtu huna infos za kutosha jaribu kuuliza watu wengine wakuelimishe and upost hiyo thread yako.

Ndiyo matatizo ya kukurupuka na kuivamia taaluma bila ya kuwa na umahiri nayo.
 
Mdahalo "ni majadiliano kati ya watu", huo wa Dr slaa alikuwapo msimamizi na wasikilizaji walioweza kuingia kwenye majadiliano kwa njia ya simu, mdahalo si lazima wawe watu wawili au watatu waliokaa sehemu moja' wangeweza ungekua kupitia videophone, na wala si lazima awepo lipumba au Jk, wewe ndo ulitakiwa kuelimisha wakuu humu, lakini umeonyesha jinsi gani ulivyokua na upeo finyu!!
 
Njilembera na Wengine,

Nimechokoza mjadala huu kwa nia njema kabisa. Tuwekane sawa, kwamba kuna tofauti ya embe na chungwa, kwa mwonekano na ladha pia. Kilichokuwa kikitangazwa kabla ya jana ni " Mdahalo". Tulichokiona si mdahalo, na sisi ni watu wazima. Wasije wajukuu zetu wakaja kutushangaa watakaposoma historia. Watahoji upeo wetu wa kufikiri . Kinachoonekana hapa ni ukweli, kuwa wa jana haukuwa mdahalo. Swali linabaki, jana tuliona nini? Mazungumzo, mahojiano au PR? Hivi set up ya mahojiano inatakiwa iweje ili yaitwe mahojiano? Na kwanini aliyeendesha shughuli ile alitambulishwa kama ' Mwenyekiti wa Mdahalo?". Hebu 'Great Thinkers ' tuumize vichwa tuweke hili sawa.

Article bomba namna hii ingelipandisha sana chati gazeti letu pendwa la Kwanza Jamii. Idiota!
 
ndugu yangu maggid mimi naungana na wewe kuhusu mahojiano ya mwakitwange na silaha.haya yalipangwa kumpigia debe mgombea ukichukulia huyu ni pona kwa kiswahili safi mdahalo ni watu wanoshindana kwa nguvu ya hoja wasio chini ya watu wawili. wangemchukua Kuga Mzirai tungeita mdahalo.MWAKITWANGE KACHEMSHA JANA ule sio mdahalo mahojiano

Sasa kama Wagombea wengine wamekimbia unataka nini kifanyike? Siyo mara ya Kwanza JK kukimbia mdahalo hata 2005 aliingia mitini vile vile
 
Maggid,

Good observation! Ki-ukweli kuita kile kilichofanyika jana mdahalo ni misnomer - haukuwa mdahalo. Sifahamu sababu za lipumba kutokuwepo lakini hata kama angekuwepo value added isingekuwa worth the effort. Iko wazi kuwa mpambano wa uraisi sasa umebaki kuwa wa watu wawili Dr. Slaa na Raisi Kikwete na kwa kuwa kikwete kapigwa marufuku na makamba kushiriki midahalo hakukuwa na uwezekano wa kumpata so waandaaji wakaamua kufanya walichokifanya. Unaweza ukawa unaamini kuwa Kina Dovutwa na mzee Rungwe pia walitakiwa washirikishwe, I beg to differ. Mimi naamini ubora wa mdahalo unapimwa na uwezo wake wa ku-influence outcome ya election na sio idadi ya washiriki. Nimalizie kwa kusisitiza kuwa mdahalo ambao utaamua mshindi wa uraisi ungekuwa kati ya kikwete na slaa; we both know that that debate will never be held!!!!

Asante.
denis_79tz.

Well said.
 
Ndugu Zangu,

Maana, tukianza sasa kujenga tabia ya kubagua wagombea itakuwa ni jambo la hatari sana. Ikumbukwe, tangu Uchaguzi Mkuu wa 1995, tulianza kujenga misingi mizuri ya wagombea kupewa fursa sawa. Kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 wagombea wote wa Urais walialikwa kwenye mdahalo uliofanyika kwenye iliyokuwa Kilimanjaro Hotel. Kama inavyoonekana pichani, kulikuwa na Profesa Lipumba, Augustino Mrema, Benjamin Mkapa na Bwana Cheyo. Historia ni mwalimu mzuri. Tujifunze.

Maggid,
Iringa, Jumapili, Oktoba, 24, 2010

Ningekuona wa Maana kama ungesema nini Kilifuata baada ya 1995? Ungeeleza ni kwa nini 2000 hakukuwa na Mdahalo, kwa nini 2005 hakukuwa na mdahalo, na Mwisho kabisa Andaa mdahalo ita wagombea wote
 
Ni jambo la kusikitisha kuona ya kuwa sasa tumejikita katika kujadili maana ya neno Mdahalo badala ya kuchambua kile kilichozungumzwa jana. Inasikitisha kuwa mwandishi wa hii mada anafanya hilo kwa makusudi ili kushift attention yetu. Kama walivosema wengine watu wakulaumu katika hili ni CCM kwa kuwanyima wananchi haki zao za msingi za kuwajua wagombea wao. Waandishi wetu kama wakina Maggid wametuangusha katika hili, kwani ameshindwa kuandika mstari mmoja kuquestion mambo yaliyofanywa na CCM lakini anakuwa mwepesi kuchangia katika matumizi ya neno mdahalo.

Jamani, tumuache Maggid aendelee kuchambua kuhusu rangi ya kitabu since that is what he can do best! Sisi tujikite katika kuchambua kurasa za ndani za kitabu (contents).
 
Majjid,

Ulikuwa wapi usiyaongee haya toka mwanzo????
Unacholalamika hakina maana sababu waandaji waliweka utaratibu, kwa nn hukutoa hayo maoni tyangu mwanzo??/
hapa hakuna aliyeandaa huo mjadala kama kulalamika kalalamike kule walikoandaa...Kila siku CCM wanaonyeshwa kwenye chanel Ten,ITV,Star tv n.k sijakuona ukilalamikia hilo< au hiyo tabia ya CCM kukimbia midahalo sijakusikia ukiikemea. Mi nilifikiri ungekuwa wa kwanza kutumia kalamu yako au Blog yako kushawishi wananchi wasichague CCM kwa sababu CCm hawataki kuhojiwa kwenye midahalo< ila hilo hufanyi...Majidd Uchaguzi huu mwisho jumapili ijayo, uishauri wangu ni vema ukaa kimya au ukaamua kutangaza hadharani wewe ni CCm kama afanyavyo MIchuzi kuliko kuijifanya mchambuzi wa kati (Independent) huku maneno yako yakionyuesha wewe ni wa chama gani. Wasiwasi wangu heshima yako imeshuka kwa hizi makala zako uchwrwa
 
Ni jambo la kusikitisha kuona ya kuwa sasa tumejikita katika kujadili maana ya neno Mdahalo badala ya kuchambua kile kilichozungumzwa jana. Inasikitisha kuwa mwandishi wa hii mada anafanya hilo kwa makusudi ili kushift attention yetu. Kama walivosema wengine watu wakulaumu katika hili ni CCM kwa kuwanyima wananchi haki zao za msingi za kuwajua wagombea wao. Waandishi wetu kama wakina Maggid wametuangusha katika hili, kwani ameshindwa kuandika mstari mmoja kuquestion mambo yaliyofanywa na CCM lakini anakuwa mwepesi kuchangia katika matumizi ya neno mdahalo.

Jamani, tumuache Maggid aendelee kuchambua kuhusu rangi ya kitabu since that is what he can do best! Sisi tujikite katika kuchambua kurasa za ndani za kitabu (contents).

Rufiji,
Hakuna anayelazimishwa kujadili. Ukiwaona wenzako wanajadili, basi, ujue wanalojadili lina umuhimu kwao. Ndio maana na wewe umetumia muda wako kuingia humu na kuchangia mawazo yako.
Hili la kuwekana sawa juu ya dhana ya mahojiano/mazungumzo na mdahalo lina umuhimu. Tusifike mahali hata mikutano ya ndani ya vyama nayo ikaitwa midahalo. Ni pale anayehojiwa anaingia studio na wapambe wake wakiwa na bendera na matarumbeta. Watamshangilia kila anapomaliza sentesi moja. Nadhani tukisoma mawazo ya wengine na kuwa na utayari wa kuelewa, basi, tumeshaelewa, kuwa wa jana haukuwa mdahalo kwa maana ya mdahalo tunaouelewa wengi wetu. Na haina maana ya kudharau kilichoongewa na Dr Slaa kwenye mahojiano/mazungumzo yale na mwendesha kipindi ambaye jana alitambulishwa kama ' Mwenyekiti wa Mdahalo'.
 
nasikia hapa JF sasa hizi ukiandika neno CRAP unaweza kula ban, ila kitu kama mtu kamwaga CRAP sijui itabidi tutumie neno gani tena manake ukiandika neno CRAP unaweza ukawa na hali mbaya
Andika trash/filth/takataka/uozo:thumb::A S-danger::biggrin1:
 
Ndugu Zangu,
Jana tumesikiliza mdahalo, au labda mazungumzo au mahojiano kati ya Dr Slaa ( CHADEMA) na Rosemary Mwakitwange. Mahojiano yaliyoruhusu wengine kuchangia kwa njia ya simu pia.
Tunawapongeza walioshiriki kufanya jitihada zile. Ilitoa fursa kwa sisi wapiga kura kumsikiliza Dr Slaa. Hata hivyo, pungufu kubwa kabisa lililoonekana ni namna waandaaji walivyoandaa mdahalo wa upande mmoja bila kuwashirikisha wagombea wengine wa Urais waliopitishwa na NEC. Maana, ni vema pia tukatofautisha maana ya mdahalo na mahojiano. Kama yale ya jana yalikuwa ni mahojiano tu, hakuna tatizo kwa mgombea mmoja tu kuhojiwa. Lakini kama unaitwa mdahalo, basi, tujadili maana ya mdahalo.

Kama ni mdahalo, basi, ingekuwa ni vema na busara kwa wagombea wengine wa Urais kushiriki. Bila shaka, wagombea wengine nao wana haki za msingi za kupewa nafasi ya kuelezea sera zao na kujibu maswali ya wapiga kura. Hata kama chama tawala, CCM kimeweka wazi kuwa mgombea wao hatashiriki mdahalo, lakini hatujasikia vyama vingine vitoa misimamo kama hiyo.

Wengi wetu tungependa kuona wagombea wengine wa Urais nao wakialikwa, hivyo basi, kupewa fursa ya kuelezea sera za vyama vyao na kuulizwa maswali. Kungetoa fursa ya wagombea hao kushindana kwa hoja pia. Labda kama kuna maelezo ya kuwa wagombea hao walialikwa lakini hawakuitikia mwaliko wa kwenda studioni. Au kuwa gharama za muda wa kurusha hewani mdahalo ziligharamiwa na chama cha mgombea aliyefika kwenye mdahalo/mahojiano. Kama sivyo, basi, waandaaji watakuwa hawakuwatendea haki wagombea na wapiga kura kwa ujumla wao.

Maana, tukianza sasa kujenga tabia ya kubagua wagombea itakuwa ni jambo la hatari sana. Ikumbukwe, tangu Uchaguzi Mkuu wa 1995, tulianza kujenga misingi mizuri ya wagombea kupewa fursa sawa. Kwenye uchaguzi wa mwaka 1995 wagombea wote wa Urais walialikwa kwenye mdahalo uliofanyika kwenye iliyokuwa Kilimanjaro Hotel. Kama inavyoonekana pichani, kulikuwa na Profesa Lipumba, Augustino Mrema, Benjamin Mkapa na Bwana Cheyo. Historia ni mwalimu mzuri. Tujifunze.

Maggid,
Iringa, Jumapili, Oktoba, 24, 2010
:thumb: Big up Maggid! That's what I call constructive criticism!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maruhani
 
Ukitaka kujua maana ya MARUHANI muulize Mzee Mengi, Jana amekemea mafisadi na kusema ni sawa na maruhani, na wananchi wasiwape kura maruhani.....message ilifika dirrect
 
Maggid na wewe unasafir kwenye ile boti inayozama ya watu wanaotaka tuiangalie presidential race ya mwaka huu kwa misingi ya kidini badala ya performance?
 
Rufiji,
Hakuna anayelazimishwa kujadili. Ukiwaona wenzako wanajadili, basi, ujue wanalojadili lina umuhimu kwao. Ndio maana na wewe umetumia muda wako kuingia humu na kuchangia mawazo yako.
Hili la kuwekana sawa juu ya dhana ya mahojiano/mazungumzo na mdahalo lina umuhimu. Tusifike mahali hata mikutano ya ndani ya vyama nayo ikaitwa midahalo. Ni pale anayehojiwa anaingia studio na wapambe wake wakiwa na bendera na matarumbeta. Watamshangilia kila anapomaliza sentesi moja. Nadhani tukisoma mawazo ya wengine na kuwa na utayari wa kuelewa, basi, tumeshaelewa, kuwa wa jana haukuwa mdahalo kwa maana ya mdahalo tunaouelewa wengi wetu. Na haina maana ya kudharau kilichoongewa na Dr Slaa kwenye mahojiano/mazungumzo yale na mwendesha kipindi ambaye jana alitambulishwa kama ' Mwenyekiti wa Mdahalo'.

Maggid,

Kwa mtazamo wangu sidhani kama tukiita kile kilichofanyika jana mdahalo, mkutano, kitimoto, caucus , majadiliano, debate ...itabadilisha yale yaliyosemwa na Dr.Slaa jana. Cha msingi ni kutambua ya kuwa ITV sio mali ya serikali, hiki ni chombo binafsi kinachojiamulia kufanya mambo kutokana na utashi wake. Kwa hiyo suala la kutaka mgombea awepo sio kazi yao, wao wanaangalia ni mgombea gani wakimhoji watapata waangaliaji wengi (it's all about ratiings). Suala la kutaka kuwahoji wagombea wote lilitakiwa kuandaliwa na wanahabari kama nyie pamoja na TBC, sijui umefanya initiative gani kuwashawishi wenzako kuandaa kitu kama hicho.

Pili, nadhani sisi watanzania tumejenga tabia mbaya ya kukosoa vitu tuu bila sababu za msingi. Wakati umefika sasa kuanza kuangalia vitu kwa mapana na marefu, tujiulize ni kitu gani tumejifunza kutoka kwenye mdahalo/ mahojiano ya jana. Jee aliyoyasema mgombea yanaweza kutekeleza ? Those are kinds of questions reasonable people ought to discuss and not wasting time and resources in discussing silly things, like the use of the terminology "Mdahalo".
 
Jamani Maggid alikuwa na hoja katika jambo hili. Binafsi ningependa na wagombea wengine wawepo katika mdahalo huo.
Shida inayonipata na kuleta tofauti kwangu na Maggid ni ile ile. Uandishi wa upande mmoja.

Maggid alitakiwa kabla hajaleta mada yake hapa awe amewasiliana na waandaaji wa mdahalo huo na kuwauliza kwa nini unaitwa mdahalo wakati anayekwenda katika mdahalo huo ni mtu mmoja?

Mdahalo huu haukuwapo wa ghafla. Ulitangazwa kwa siku zaidi ya tatu nadhani. Na ilijulikana ni mtu mmoja atakayekuwepo wala haikuwa siri. Na yawezekana kuna sababu za mantiki kwa nini ni mmoja tu aliyeweza kuonekana au kuthibisha kushiriki na wengine wasishiriki. Maggid kama mwandishi msomi alitakiwa kuwatafuta waandaaji na kuwauliza kabla ya kuja na maandishi yake yasiyotenda haki. Kama Maggid ni mwandishi msomi anajua wazi uandishi wa jinsi hii haukubaliki kitaaluma.

Namshauri Maggid arudi kwanza na kuwatafuta waandaaji, awaulize maswali, then, aje hapa na malalamiko yake with evidence of what he has collected kutoka kwa waandaaji then tu-discuss. Bila hivyo, attacks zote anazopata hapa ni size yake.
 
Back
Top Bottom